Kipi nitoe au kuongeza kwenye Website yangu?

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,290
1,475
Hey Jamii.

Jamani kwa wanaojua mambo ya Website, niliamua kuanzisha site yanngu bila experience yeyote before,nimeleta kwenu kwa wenye weledi zaidi mnisaidie kupitia kwenye site yangu labda kuna kitu unaweza kunipa ushauri ni kitu gani kimekosa au kuzidi kwenye site yangu inaitwa wajasiriamali.com

Ntashukuru kwa muda wako
 
Mkuu,

Wengi mnapokosea ni kudhani website ni functionality tu na mnasahau kuwa ni point ya kujibrand....

Nimengalia website yako haipo user friendly (si rahisi kutumika na mtumiaji). Nimeangalia muonekano wake yaani itamuwia mtumiaji kujua inahusu nini na vipi ataitumia.

Design yake sio nzuri.
Arrangement yake haipo sawa na hapa ningeomba uangalie website nyinginezo ambazo zinafanya vitu kama vyako ili upate hint za muonekano stahiki wa website yako

Quality ya picha si nzuri.. inaonekana unachukua picha bila kujali dimensions zake na kufanya zionekane ndogo au kubwa kitu ambacho kinaharibu muonekano wake.

Unless unafanya kama kujifunza, ni kheri ukatafute mtu wa kukutengenezea kwa bei ndogo maana naona hosting unayo. Hata JF pekua threads utawakuta.
 
Chief nimeichek website yako....mna wazo zuri sema mmekosa technology sahihi haswa upande wa Front end ambao ni muhimu kwa furaha ya mtumiaji(User experience)

Kama Mme design kwa kutumia codes zenu wenyewe nitumie pm credentials za cpanel yako nikurekebishie hio front end(iliopo Sasa haifai kabisa)

Nitumie pm if u trust me......halafu malipo tutaongea if you're serious
 
Badilisha front end Kaka,utumie framework zinatakazo fanya site iwe responsive plus Best design.....(Na recommend Bootstrap)..

Kama ukihitaji niifanye io kazi...nicheck namba zangu zipo hapo juu

Haya mambonapenda mtu wa kunifudisha kama kunikosoa na kuniambia nawezaje kirekebisha kama unaweza kunielezea zaidi namna ya kurebisha ni vizur zaid
 
Kaka hio approach utatumia mda mrefu.....bila ya mtu kuziona codes ulizotumia Ni vigumu Sana kukusaidia.....ataishia kukwambia tu ubadilishe muonekano....
 
Nimeshukuru mkuu nimekuelewa sana ila subiri nisikie mitazamo ya wengine
 
Mkuu,

Wengi mnapokosea ni kudhani website ni functionality tu na mnasahau kuwa ni point ya kujibrand....

Nimengalia website yako haipo user friendly (si rahisi kutumika na mtumiaji). Nimeangalia muonekano wake yaani itamuwia mtumiaji kujua inahusu nini na vipi ataitumia.

Design yake sio nzuri.
Arrangement yake haipo sawa na hapa ningeomba uangalie website nyinginezo ambazo zinafanya vitu kama vyako ili upate hint za muonekano stahiki wa website yako

Quality ya picha si nzuri.. inaonekana unachukua picha bila kujali dimensions zake na kufanya zionekane ndogo au kubwa kitu ambacho kinaharibu muonekano wake.

Unless unafanya kama kujifunza, ni kheri ukatafute mtu wa kukutengenezea kwa bei ndogo maana naona hosting unayo. Hata JF pekua threads utawakuta.
ni kweli mkuu najifunza na baada ya kupata wazo la kuwa site niliona si vyema nikitaka kufanya ktu lazima nimfate mtaalamu,kwaiyo nimeanza kujifunza kupitia ya kwangu
 
Kaka hio approach utatumia mda mrefu.....bila ya mtu kuziona codes ulizotumia Ni vigumu Sana kukusaidia.....ataishia kukwambia tu ubadilishe muonekano....

Bro uko vizuri kwenye web application development. Nina web system yangu jamaa mmoja alinitengenezea, sasa haiko very responsive upande wa mobile devices.
Yeye alifocus tu kwa interfaces za laptop.

Sasa, nataka nifanye web app iwe responsive for both devices, hasa smart phones. Then nifanye hosting. Bado ipo localhost.

Unaweza tufanye kazi?? Shingapi kwa makadirio. Usinipige pesa ndefu kaka, kumbuka system ipo ni suala la kurekebisha tu outlook.

Natakiwa by December 10 iwe imekamilika vizuri na tufanye hosting kabisa. Hapa kwenye hosting pia nitahitaji unisaidie settings zake.

Nishalipia Domain, na hosting server.
 
Bro uko vizuri kwenye web applucation development. Nina web system yangu jamaa mmoja alinitengenezea, sasa haiko very responsive upande wa mobile devices.
Yeye alifocus tu kwa interfaces za laptop.

Sasa, nataka nifanye web app iwe responsive for both devices, hasa smart phones. Then nifanye hosting. Bado ipo localhost.

Unaweza tufanye kazi?? Shingapi kwa makadirio. Usinipige pesa ndefu kaka, kumbuka system ipo ni suala la kurekebisha tu outlook.

Natakiwa by December 10 iwe imekamilika vizuri na tufanye hosting kabisa. Hapa kwenye hosting pia nitahitaji unisaidie settings zake.

Nishalipia Domain, na hosting server.

Mteja huyu kaka usinisahau mleta uzi
 
Bro uko vizuri kwenye web application development. Nina web system yangu jamaa mmoja alinitengenezea, sasa haiko very responsive upande wa mobile devices.
Yeye alifocus tu kwa interfaces za laptop.

Sasa, nataka nifanye web app iwe responsive for both devices, hasa smart phones. Then nifanye hosting. Bado ipo localhost.

Unaweza tufanye kazi?? Shingapi kwa makadirio. Usinipige pesa ndefu kaka, kumbuka system ipo ni suala la kurekebisha tu outlook.

Natakiwa by December 10 iwe imekamilika vizuri na tufanye hosting kabisa. Hapa kwenye hosting pia nitahitaji unisaidie settings zake.

Nishalipia Domain, na hosting server.
Nicheki Kaka....0623391590
Au njoo pm
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom