Kipi nitoe au kuongeza kwenye Website yangu?

Less is more mkuu. Umeweka mambo mengi mpaka mtumiaji anasahau anatafuta nini kwenye hiyo website. Uandishi pia mbovu sana, fonts hazivutii na layout haieleweki. Hii ni kutokana na kufanya Web Development bila kuwa na an end goal in mind. Ukiweza pitia stages za SDLC kuanzia mwanzoni ili ujue nini unataka watumiaji wakipate kutoka kwenye website yako. Ifanye iwe na ushawishi kwa yule atakayeifungua. Naipa 1/10.

Ila mkuu hii ni website ya matangazo tu.
Pia naona kwa mtumiaji wa simu ina kuwa na muoneka mmbaya ila kweny computer naridhika nainavyoonekani
 
jamaa yangu hiyo website yako haivutii kabisa nakushauri tumia boostrapp na kama umeatumia code zako mwenyewe from scratch , kama unauelewa vizuri na code ungetumia framework ya laravel ya Php amabyo hiyo inakuja na kila kitu na website yako inakuwa resnsponsive na ya kuvutia jifunze css
 
Ngoja nizame tena
 
Nmemaliza kufanya mabadiliko mkuu unaweza kupta
 
mkuu nimeingalia atleast sasa hivi kidogo ila kunavitu nataka nikushauri
1.Picha zako siyo quality yaani zina ukungu ukungu jaribu kuweka picha zenye qauality(Tumia camera nzuri kupiga picha na sio simu au simu ya viwango kama s8+ mpa S10 au iphone 11 hizi ndo simu zinapiga picha quality
2.website yako ni commercial site ila ina vitu vingi saana ambavo kwa mtu ambaye hana huelewa na haya mambo itakua complicated sana kwakwe yaan sio friends user jaribu kupunguza vitu usiiige Muonekano wa website kama Amazon, au aliexpress
3. Mfumo wa malipo ungefanya uwe wa Mpesa ,tigo pesa, halopesa, na airtel money na sio bank na paypall ingekua rahisi sana kwa maana watu wako uliwalenga ni Watanzania zaidi....
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
Jaman mnaweza kupitia nimefunga kazi
Huwezi funga kazi nanmna hii hapa unatakiwa kuendelea na kazi.

Kuhusu picha usichukue picha kwa kutumia Google search mkuu tumia site zenye high quality picture Kama Shutterstock n.k au edit zilingane na hiyo container ili ziweze fit vizuri kwenye frame ona hapa kwenye picha zako.

Screenshot_20200102-143934~2.png
Screenshot_20200102-144059~2.png
 
Huwezi funga kazi nanmna hii hapa unatakiwa kuendelea na kazi.

Kuhusu picha usichukue picha kwa kutumia Google search mkuu tumia site zenye high quality picture Kama Shutterstock n.k au edit zilingane na hiyo container ili ziweze fit vizuri kwenye frame ona hapa kwenye picha zako.

View attachment 1310139View attachment 1310156

Nimekuelewa mkuu ila picha za huko lazma uweke mautundu mengi mkuu
 
Site iko poa. Umejitahidi

Sema kutokana na nature ya web yako ni ecommerce site so inabidi usiishie tu kwenye UI/UX design bali pia jitahidi kwenye security coz users wakifanya payment wanaweza acha details zao na zikaibiwa.

Ila kwa upande wa front end u got 7/10
 
Back
Top Bottom