Kipi kitatokea endapo Tanzania itawekewa vikwazo vya kiuchumi?

Kujitegemea hakuji kwa kukurupuka,ni lazima mtu ujipange.
Tusiwe kama viongozi wetu kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu,vijana wanapolilia ajira,hujibiwa kirahisi tu,nendeni vijijini mkalime...majibu ya kipuuzi kabisa
Sure
 
Wakuu naomba tujadili hili, maana kama indicator tumeshawashiwa...

Je ni athari gani tutapata kama nchi na kwa mtu mmoja mmoja!

Kutokana na hali tete ya uchumi tuliyonayo je tukianguka kabisa itakuwa rahisi kuinuka??

NB: Mods msiunganishe huu uzi, pengine tutapata hapa namna ya kujiandaa na yajayo na kufunga mkanda!!
Unawekewa kikwazo eti kwa sababu hutaki John amto**e Juma.
 
Baadhi ya huduma za kijamii na miradi mbalimbali itasuasua

Mzunguko wa fedha utapungua na baadhi ya biashara zitadorora na pengine kufa kabisa

Nadhani ifike pahala TUJITEGEMEE WENYEWE NCHI KAMA NCHI NA SIO KUTEGEMEA WAHISANI WENYE MASHARTI MAGUMU
Mtoto wa miaka 10 kujitegemea ni kuwa chokoraa ebu fikiria nchi yetu hadi leo hatuna mahitaji muhimu mfano maji safi na salama imekuwa ndoto kwa 90% ya watanzania.....
Je kujitegemea tutaweza?pia hamna nchi hata moja Africa inayoweza kujitegemea.

Ni ndoto za mchana eti tujitegemee
 
Aliwekewa vikwazo Nyerere na nchi ilienda, hatuwezi kufuata Amri za mabeberu Kisa vikwazo, we must have our own denstiny this is our land hata kwao hatuwaingilii iweje watuingilie, wanataka kutuvuruga kwakua wanaona tuna Songa mbele bila ya misaada yao ya masharti
Oooh enzi hizo kupanga foleni kununua kipande cha sabuni!Ulikuwa ukikutwa na kilo 5 za sukari basi ni bora uzitose ziwani
 
Baadhi ya huduma za kijamii na miradi mbalimbali itasuasua

Mzunguko wa fedha utapungua na baadhi ya biashara zitadorora na pengine kufa kabisa

Nadhani ifike pahala TUJITEGEMEE WENYEWE NCHI KAMA NCHI NA SIO KUTEGEMEA WAHISANI WENYE MASHARTI MAGUMU
Hiyo Jeuri hatunaaa...Hatutakuja kuwa nayoo..!
 
Aliwekewa vikwazo Nyerere na nchi ilienda, hatuwezi kufuata Amri za mabeberu Kisa vikwazo, we must have our own denstiny this is our land hata kwao hatuwaingilii iweje watuingilie, wanataka kutuvuruga kwakua wanaona tuna Songa mbele bila ya misaada yao ya masharti
Haya ni mawazo ya Jesca au Dab hongera sana!
 
Wakuu naomba tujadili hili, maana kama indicator tumeshawashiwa...

Je ni athari gani tutapata kama nchi na kwa mtu mmoja mmoja!

Kutokana na hali tete ya uchumi tuliyonayo je tukianguka kabisa itakuwa rahisi kuinuka??

NB: Mods msiunganishe huu uzi, pengine tutapata hapa namna ya kujiandaa na yajayo na kufunga mkanda!!
Haiwezi kuwekewa hivyo vikwazo kwa sababu hao wazungu wanatafuta uhusiano mzuri kwa sababu huwezi kuwa na Amani iwapo Tanzania itakuwa na hari mbaya au vita. Kwa ufupi hizo ni allegation ambazo hazina ushahidi na wao wanafahamu hilo ndiyo maana hawana ushahidi kwa kila allegations walio ibua
 
Mkuu kwanini unafikiri kwamba hawana ushahidi? Bunge la EU na USA wanaweza kukaa na kujadili tuhuma hewa?
 
Wewe unao ushahidi???? Je ni mwanasiasa gani kashitakiwa bila kufuata sheria? Je ni nani yupo kizuizini bila sheria? Unajua nyie wapinzani ni wajinga na wapumbavu sana. Mnavunja sheria halafu mnataka msamehewe kisa nyie wanasiasa wakati huo huo mgekuwa ninyi ndiyo wenye serikali mgehakikisha mnajidai kutumia hizo sheria kulinda amani. Kwa ufupi wapinzani mmeishiwa nguvu mmeanza kutafuta ufadhili
 
Doh, mahaba hupofusha macho
 
utaacha kuletewa KY tulia unyolewe bila ganzi,wewe ulitaka utawala huu tuendelee kuuza nchi yetu ,unafikiri tungebaki na nini?
 
Wakuu naomba tujadili hili, maana kama indicator tumeshawashiwa...

Je ni athari gani tutapata kama nchi na kwa mtu mmoja mmoja!

Kutokana na hali tete ya uchumi tuliyonayo je tukianguka kabisa itakuwa rahisi kuinuka??

NB: Mods msiunganishe huu uzi, pengine tutapata hapa namna ya kujiandaa na yajayo na kufunga mkanda!!
Tundulisu atafanya sherehe kubwa haijawahi kutokea
 
Mizigo ya mtukufu itatangulia Chato kwa helicoptre na yeye atafuata kwabusafiri wa barabara.
 
Back
Top Bottom