Kwa yale ninayoyafahamu mimi, amini usiamini, upende au usipende Tanzania KAMWE haitowekewa vikwazo vyovyote vya kiuchumi...
Nina wahakikishia Watanzania wote ndani na nje, Tanzania KAMWE haiwezi kuwekewa vikwazo na nawaomba endeleeni kufanya kazi kuliendeleza Taifa la Tanzania na wale Watanzania wasioitakia mema Taifa letu wote watashindwa kama walivyoshindwa wengine. Tanzania imeundwa haswa ndani mpaka nje ya mipaka yake, na Tanzania itazidi kuwa imara na kuwa Taifa huru lenye nguvu hapa Afrika na duniani kwa ujumla.
Na kwa vile Tanzania KAMWE haiwezi kuwekewa vikwazo basi haina haja kujadili unayoyasema hapa...

Wakuu naomba tujadili hili, maana kama indicator tumeshawashiwa...
Je ni athari gani tutapata kama nchi na kwa mtu mmoja mmoja!
Kutokana na hali tete ya uchumi tuliyonayo je tukianguka kabisa itakuwa rahisi kuinuka??
NB: Mods msiunganishe huu uzi, pengine tutapata hapa namna ya kujiandaa na yajayo na kufunga mkanda!!