MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
- Thread starter
-
- #61
mi pia nashindwa kuwaelewa, yani nilihakikisha nimempa kila kitu alichohitaji lakini kuwa nae mbali miezi mitatu tu, nimeachwa.
We achana na hicho kingreza kwanza bwana!!
Kuna mijitu haiko romantic yaani hata ile ya kujilazimisha, yaani ukisikia "i miss you baby" ujue anataka mgegedo, yaani nitakupiga chenga za mwili utaachia ngazi mwenyewe bila kushurutishwa.
Mmh. Mkuu hawa wadudu hawaelewek unawaweza kumchezeshea ujoka mpaka ajambe na still akakengeuka tena kwa boya tu asie mjuvi wa jando
Kwn unawaita wadudu,wako class gn la kingdom arthropoda
Lingine liko busy kama linaumba watu, hata hakumbuki ana beibe, wa nini huyo sasa!
Hahahaha smh! Hebu sema kwanza kuwa romantic kwako ni kuwa aje..?
Atoto,akikwambia yuko busy bila kupta muda wa kuongea na ww unachukua uamuz gn.Tililika!!!!
Nakupiga chenga za mwili tu, visa haviishi yaani unajikata mwenyewe, alafu utajisifia umenimwaga kumbe nilikumwaga siku nyingi bila wewe kujua.
sure hawa watu wanapenda sana socialization, wanapenda pia kupiga kaumbea kidogo angalau mara moja kwa siku au kwa wiki, mwache achepuke hata mara moja coz huwezi kumzuia kufanya hivyo, unakuwa mkali kidogo kwa baadhi ya mambo, kwenye mechi all your ability devote hapo ndani hawezi sepaPamoja na hayo hapo juu lakini
-mpe social life
- mpe muda wa kuongea umbea
-mpe loop holes kwa baadhi ya mambo
Kishapo ukikikamata kipochi manyoya kisulubu kisawasawa uone kaa utaachwa...ukiingia huko upole peleka kureeee...ire ni vita mura
Mimi mbali na status napenda USAFIIIIIIII!
ukiona yuko serious sana unamchezea kidevu atachangamka tuKweli mkuu mimi hupenda sana utani pia kusikilizwa. Sa unakuta jitu lipo serious kama baba yako. Unapiga chini tuu!
Toa pesa,toa pesa,toa pesa alafu toa pesaaaaaa
Then mengine hata wewe unajua, hapo kwanza ndipo panapowaangusha wengi.
Wanawake tuambieni maana imekuwa taaaaabu kuwaelewa mnachokpenda.Kidume ht uwe na pesa,mpole na mwenye mapenzi ya kweli pia waweza achwa.Valentina,masai dada,Lara0(1) tupeni ya moyoni
ukiona yuko serious sana unamchezea kidevu atachangamka tu
na wanapolalamika na kulialia ndo wanamaanisha nn
Mimi mbali na status napenda USAFIIIIIIII!