Kipi kinakupa Sababu ya kuoa?

Kipi kinakupa Sababu ya kuoa?

Nina life moja la raha sana full bata yani juzi nilikua nawalipia ada machali wapo bording huko sipendi shida mwanangu""""Zero IQ"""
Swaaaafi kabisa mkuu na unaonaje maisha yako kwa sasa unaweza kutembea barabarani huku umekosea kufunga vifungo vya shati yako mkuu
 
Malezi gani unayosemea ya mpaka mtu uoe, Wangapi wameoa na watoto zao tunawaona mtahani wakiwa na tabia mbovu kabisa,
Na watu wazima wangapi wameoa na tunawaona kabisa mtahani huku hawana heshima yeyote mkuu,
Swala la malezi na heshima halitegemei kuoa.
Sawa.. hawawezi kuwa wote wana heshima... Ila kwa wingi heshima ipo.
Tusihalalishe uhuni na uchafu kuwa bora zaidi ya ndoa ambayo mimi na wewe wazazi wetu walishiriki.
 
Sana mkuu kuoa ni ufungwa
Kama umeoa na ulikosea basi mfungwa ni wewe si ndoa. Kama hujaoa huku unashauri kitu ambacho hujui uchungu wala utamu wake basi una tatizo unaitaji msaada.

Nani asiyetaka kupiga honi jioni halafu geti likifunguliwa anawaona watoto wake wote na ile nyimbo ya dady dady, huku wife akiwa keshakuandalia supu ya kuku na hii baridi?

Changamoto za ndoa zipo ila raha ni nyingi zaidi. Mradi Usiwe maskini tu, na pia usiwe mtu wa kupenda penda ngono sana za nje halafu uwe na mwanamke wa kawaida, mwerevu na mwenye hofu ya MUNGU.

Tatizo la vijana mnataka sana hawa wenye degree za udangaji, Mwanamke ana ma Long ex 6(Aliishi nao kama mke na mume) na short x 80( Wamepiga na Kusepa) unategemea nini kama si kifungo?

Ukiona una mwanamke mda wote macho juu akidhani unacheat ujue umeoa mzoefu wa hayo mambo. Mwanamke wako anatakiwa awe innocent and busy kiasi kwamba ubongo una nafasi ndogo sana ya kuwaza mambo nje ya watoto wake, ndoa yake na biashara zenu.

Jipunguzie matatizo pia, usioe mwanamke anayetongozeka kirahisi. Mwanamke anageuza kila shingo ya mwanaume, Tembo ni mzuri kumwangalizia huko huko porini si umfuge nyumbani. Nenda kaoe mama wa watoto wako, ukimtafuta waza watoto wako watakuwa na mama wa aina gani siyo wewe unampenda kwa kiwango gani au anavutia kwa kiwango gani. Upendo utakuja tu, Mtu anayekujali, anakupikia, amekupa watoto na anawalea, anasimamia biashara zako vizuri kwanini usimpende in time? Labda uwe na mapepo. Na wewe usiwe Mpenda Ngono za nje kupitiliza.
 
Kumpenda mtu pekee hakuwezi kuwa sababu ya wewe kuoa kwa sababu ata usipomuoa still upendo unabaki kama ulivyo,

__Penzi unaweza kupata popote na kwa wakati wowote,

__watoto unaweza kuzaa na yeyote na kwa idadi unayoitaka,

__Usaidizi house Made wapo wa kutosha tena ata wale wenye taaluma ya darasani,

__Kampani hiyo haina mashaka kabisa ukiwa single ndio unakuwa free na kampani yenye kukupa furaha siku zote,

Kipi kinakupa sababu ya kuoa?
Kumkosea Mungu kwa dhambi ya uzinzi
 
End of the world ni pale wewe pumzi yako ya mwisho inapochukuliwa vinginevyo unaowaacha hai wataaendelea hivyo hivyo tu hakuna mwisho, tuko kwenye mzunguko we ukifa kuna mwingine anazaliwa
Tatizo ni imani....
 
Kumpenda mtu pekee hakuwezi kuwa sababu ya wewe kuoa kwa sababu ata usipomuoa still upendo unabaki kama ulivyo,

__Penzi unaweza kupata popote na kwa wakati wowote,

__watoto unaweza kuzaa na yeyote na kwa idadi unayoitaka,

__Usaidizi house Made wapo wa kutosha tena ata wale wenye taaluma ya darasani,

__Kampani hiyo haina mashaka kabisa ukiwa single ndio unakuwa free na kampani yenye kukupa furaha siku zote,

Kipi kinakupa sababu ya kuoa?
Naamini ndoa ni zaidi ya hayo uliyoongea.
 
Nachotaka ni kampani ya kudumu naye milele.

Hao uliowataja ni gharama sana ukilinganisha na mke wako.

Kumpenda mtu pekee hakuwezi kuwa sababu ya wewe kuoa kwa sababu ata usipomuoa still upendo unabaki kama ulivyo,

__Penzi unaweza kupata popote na kwa wakati wowote,

__watoto unaweza kuzaa na yeyote na kwa idadi unayoitaka,

__Usaidizi house Made wapo wa kutosha tena ata wale wenye taaluma ya darasani,

__Kampani hiyo haina mashaka kabisa ukiwa single ndio unakuwa free na kampani yenye kukupa furaha siku zote,

Kipi kinakupa sababu ya kuoa?
 
Huyo ndiye mlinzi nayemtaka, shida siku hizi hawaeleweki unaweza kutoka kazini ukakuta mlinzi wako kakuibia!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ndio maana nasema usioe mkuu hawa viumbe siku hizi wamebadilika
 
Kumpenda mtu pekee hakuwezi kuwa sababu ya wewe kuoa kwa sababu ata usipomuoa still upendo unabaki kama ulivyo,

__Penzi unaweza kupata popote na kwa wakati wowote,

__watoto unaweza kuzaa na yeyote na kwa idadi unayoitaka,

__Usaidizi house Made wapo wa kutosha tena ata wale wenye taaluma ya darasani,

__Kampani hiyo haina mashaka kabisa ukiwa single ndio unakuwa free na kampani yenye kukupa furaha siku zote,

Kipi kinakupa sababu ya kuoa?
kiukweli ni kwamba hakunamaana muhimu ya kuoa ila umekuwa ni utamaduni wa kibinadamu pamoja na psychology ya jamii zetu zimetujenga ili kuona kuoa ama kuolewa kitu fulani ambacho ni kama lazima au na kupitia hizo hisia zinaenda mbali na wakati mwingine inaonekana kupewa heshima sana sana kwa wanawake ila hii imebaki sana huku africa.Kwasababu ukiangalia sana siku hizi watu wanapendana wansex na wakati mwingine wanafikia hata kupata watoto na wanaishi pamoja na maisha ni mazuri kama vile yalivo kwa walioa ama olewa.Lkini kwa upande mwingine kwa wanawake kuolewa ni kitu fulani walichojengewa kichwani (illusion) kwamba mpaka mwanamke aonekane amekamilika ni lazima wakati mwingine aolewe ndio anaonekana mwanamke inafikia hata kipindi kuna wadada wanakimbilia ndoa na kuwaacha watu waliowapenda ila kisa tuu ni ndoa wanamsemo wao wanauita '' huna future na mimi''Pia psychology hiyo hiyo ipo kwa wazazi wa mtoto wa kike ikitokea imekuwa hivo basi mwanaume unaonekana umemkosea heshima mzee wa familia na kulazimishwa kulipa faini na kuleta kishika uchumba ... ala in all hakuna jibu sahihi lakueleweka utakalolipata ukimuuliza mtu kwanini ulioa au uliolewa wataishia kuseam familia, tamaduni , sitaki kuchezewa but katika uhalisia hakuna maana tunafuata taratibu za mawazo ya watu
 
Back
Top Bottom