Kipi kinakupa Sababu ya kuoa?

Kipi kinakupa Sababu ya kuoa?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,199
Kumpenda mtu pekee hakuwezi kuwa sababu ya wewe kuoa kwa sababu ata usipomuoa still upendo unabaki kama ulivyo,

Penzi unaweza kupata popote na kwa wakati wowote,

Watoto unaweza kuzaa na yeyote na kwa idadi unayoitaka,

Usaidizi house Made wapo wa kutosha tena ata wale wenye taaluma ya darasani,

Kampani hiyo haina mashaka kabisa ukiwa single ndio unakuwa free na kampani yenye kukupa furaha siku zote,

Kipi kinakupa sababu ya kuoa?
 
Wanaume wa dar waoga mpaka kuoa
Halafu wanaume wa Dom Wanapenda kuvaa miwan nyeus
Nafikir ni kwa sababu ya jua
tapatalk_1555181416417.jpeg
tapatalk_1555442308060.jpeg
 
Kiukweli kulea watoto kwa ukaribu zaid pamoja na aliyekuzalia kuna raha yake sio kwa ninyi wazazi tu hata kwa watoto wenu na pia wengine hawapendi kuzini na kuepuka kuzini lazima uoe
Kuzini kukoje na kuoa kukoje mkuu Tendo si lile lile tu mnavua nguo mnaunganisha vitendea kazi vyenu kazi inaanza
 
Kuna kampen kali inaendelea ya kupinga kuoa
Kuna jamaa anaitwa Khan ameanzisha thread ya kupinga kaenda mbali zaid katoa na mifano mingi

Wanawake mjitafakari kuna kitu hakipo Sawa
Hii kampen sio mchezo
 
Kuna kampen kali inaendelea ya kupinga kuoa
Kuna jamaa anaitwa Khan ameanzisha thread ya kupinga kaenda mbali zaid katoa na mifano mingi

Wanawake mjitafakari kuna kitu hakipo Sawa
Hii kampen sio mchezo
Wewe kipi kinakupa Sababu ya kuoa mkuu?
 
Back
Top Bottom