mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,425
- 10,021
Sikutaka asepe Nataka nilale nacho kabsa nikiwa na hamu muda wowote na toa dudu naingiza basUoga kivipi si anakuja tu unachapa anasepa zake mkuu
Sikutaka asepe Nataka nilale nacho kabsa nikiwa na hamu muda wowote na toa dudu naingiza basUoga kivipi si anakuja tu unachapa anasepa zake mkuu
Ungenijibu kwnza una shidagani kuoaKipi kinakufanya uoe
Muache kujitafakari nyie uanaume wenu umeenda wapi mnataka wanawake wajitafakari like serious!!!Kuna kampen kali inaendelea ya kupinga kuoa
Kuna jamaa anaitwa Khan ameanzisha thread ya kupinga kaenda mbali zaid katoa na mifano mingi
Wanawake mjitafakari kuna kitu hakipo Sawa
Hii kampen sio mchezo
Ungenijibu kwnza una shidagani kuoaKipi kinakufanya uoe
UngeniKipi kinakufanya uoe
Kuoa ni kutoa sadaka maisha.
Ndoa ni taasisi ambayo inakupima uvumilivu, kuchukulia poa na uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi.
Ni taasisi ambayo mwanaume kama mkurugenzi unajiweka wazi kwa ajili ya kupata stroke, pressure msongo. Wanaume wengi walio kwenye ndoa wana msongo wa mawazo au ni vichaa.
Ndoa pia ni taasisi inayompa heshima mwanamke katika jamii na kumfanya mwanaume aonekane amekomaa kiakili.
Ndoa ni sehemu inayompa nafasi mwanaume ya kuwaza kwa kina juu ya Yale anayotaka kuyafanya kabla ya kuyafanya.
Sio wote lazima waoe au kuolewa.
Malezi gani unayosemea ya mpaka mtu uoe, Wangapi wameoa na watoto zao tunawaona mtahani wakiwa na tabia mbovu kabisa,Kuna tofauti kubwa kati ya mtoto mwenye malezi bora ya wazazi na mtoto ambae Baba yuko Katavi na Mama yuko Bukombe.
Heshima ya mtu mzima mwenye utashi ni kuoa au kuolewa ili ajenge mji na familia bora.
Ndoa ni baraka
Wewe ulishaviona na kuvithibitisha mkuu au umevisoma tu kwenye vitabu?
Ningemiliki kwa uoga nlitaka jamii yote ijue mimi Ndiyo mmiliki halali
Official
Swaaaafi kabisa mkuu na unaonaje maisha yako kwa sasa unaweza kutembea barabarani huku umekosea kufunga vifungo vya shati yako mkuuKuoa ni maamuzi ya mtu na kila mtu anaishi atakavyo mimi nina watoto wawili Na natafuta mengine nimzalishe basi watatu wananitosha ndio mfumo wangu
Kuna tofauti kubwa kati ya mtoto mwenye malezi bora ya wazazi na mtoto ambae Baba yuko Katavi na Mama yuko Bukombe.
Heshima ya mtu mzima mwenye utashi ni kuoa au kuolewa ili ajenge mji na familia bora.
Ndoa ni baraka