Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 279
- 721
- Thread starter
- #21
Hao wanawake malaya usione wanasali muda wote masaa 24Umepenyaje hadi kumfikia mke wa Mchungaji
Au una muonekano mzuri sana.
Hao wanawake malaya usione wanasali muda wote masaa 24Umepenyaje hadi kumfikia mke wa Mchungaji
Au una muonekano mzuri sana.
Wahi utafika mbinguniNatamanigi sana jpili ifike ili niwai church
nazikwa mavumbini, ulishawahi kuona Tanzania hii maiti inazagaa?Kaka ukifa utazikwa wapi?
Ukifa jeSina 7bu, ila ni maamuzi yangu binafsi tu.
Nitazikwa.Ukifa je
Labda ungeuliza atazikwajeKaka ukifa utazikwa wapi?
Niko mbinguni mbonaWahi utafika mbinguni
Wakat huyo wanae mtangaza alikua fundi seremala hakuishi kwa kutegemea sadakaWakali kinyama usipotoa sadaka
Hii inatekelezeka kama utaingia kanisani na roho tu alaf mwili wako ukauchq nyumbqni.Kanisani unafuata Ibada SI watu.
Umemaliza, mtoa mada inaokana anafuata watu si Mungu. Ndio shida yake inapoanziaKanisani unafuata Ibada SI watu.
Umeona ee 😜Umemaliza, mtoa mada inaokana anafuata watu si Mungu. Ndio shida yake inapoanzia