ndugu lengo la mada ni kutafuta suluhu ya jambo hili na sio kuridhika mimiNi kuhakikisha watoto wa kike hawapelekwi shule ili kusiwe na kitu kinachoitwa 'wanafunzi wa kike' mashuleni. Umeridhika?
hili gumu kwa sababu si kila mmoja anaweza kuridhiaWaokoke tu.
yawezekana upo sahihi lakini hebu tujikite katika kupata suluhuWanafunzi kupata mimba ni vihere here vyao
ahsante kwa mchango wakoWalimu wana wakati mgumu sana bora hata hawa wa sasa watoto bado wadogo, mimi niliwahi kua mwalimu enzi zile watoto ni wakubwa, ilikua shida, shida tupu.
Asikudanganye mtu hawa watoto wana majaribu hasa ukiwa mwalimu una special au unique characters watakupa shida sana, unaweza kua unawakataa lakini vishawishi vyao ni ngumu kuviruka.
Wakati mwingi hawa watoto wanawaweka waalimu kwenye mazingira magumu ambayo kwa mwanaume ambae ni sexually active inakua ngumu asikwambie mtu.
Kupambana na hili ni kuondoa hii elimu ya mitihani, elimu iwe ni competence based na sio hii tests and exams based education.
Kwanza hatua ya kwanza na ya awali kabisa yenye tija, ni kuwa Walimu wa kike wawafindishe watoto wa kike, kadhalika na Walimu wa kiume wawafundishe watoto wa kiume. Yaani kuwe na shule za wasichana peke yao ba wavulana peke yao. Kinyume na hapo, ni sawa na kupaka rangi upepo.Habari wanaJF,
Kila kukicha kashfa ya ngono kwa waalimu dhidi ya wanafunzi inazidi kukita mizizi, licha ya adhabu kali zinazochukuliwa dhidi ya wabainika lakini bado imeshindikana kulidhibiti tatizo, je kwa mtizamo wako unadhani kipi kikifanyika kitasaidia kumaliza tatizo hili?
ndugu kuna familia zinaishi maisha ya ajabu ajili ya jambo hili ndo maana nikaleta bandiko hili ili kama kutapatikana suluhu basi tuzinusuru familia zingine juu ya jambo hiliKausha hayo ndiyo marupurupu yanaitwa teaching allowances
Wahenga walisema utakula unapofanya Kazi
Unataka wakale barmaid? ? Mzee
ndugu kuna familia zinaishi maisha ya ajabu ajili ya jambo hili ndo maana nikaleta bandiko hili ili kama kutapatikana suluhu basi tuzinusuru familia zingine juu ya jambo hili