Kipi kifanyike kuwanusuru walimu na kashfa ya ngono dhidi ya wanafunzi?

Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,167
2,426
Habari wanaJF,

Kila kukicha kashfa ya ngono kwa waalimu dhidi ya wanafunzi inazidi kukita mizizi, licha ya adhabu kali zinazochukuliwa dhidi ya wabainika lakini bado imeshindikana kulidhibiti tatizo, je kwa mtizamo wako unadhani kipi kikifanyika kitasaidia kumaliza tatizo hili?
 
Walimu wana wakati mgumu sana bora hata hawa wa sasa watoto bado wadogo, mimi niliwahi kua mwalimu enzi zile watoto ni wakubwa, ilikua shida, shida tupu.

Asikudanganye mtu hawa watoto wana majaribu hasa ukiwa mwalimu una special au unique characters watakupa shida sana, unaweza kua unawakataa lakini vishawishi vyao ni ngumu kuviruka.

Wakati mwingi hawa watoto wanawaweka waalimu kwenye mazingira magumu ambayo kwa mwanaume ambae ni sexually active inakua ngumu asikwambie mtu.

Kupambana na hili ni kuondoa hii elimu ya mitihani, elimu iwe ni competence based na sio hii tests and exams based education.
 
Walimu ni sehemu tu.

Wanafunzi wanaliwa sana na jamii zote mtaani ila hazivumi.

Makundi maarufu kwa kutafuna walimu ni haya hapa.

1. Madereva bodaboda,tax,daladala
2. Askari polisi,magereza etc
3.Wauza mitumba
4..Mafundi nguo
5. Mapededjee
 
Ni kuhakikisha watoto wa kike hawapelekwi shule ili kusiwe na kitu kinachoitwa 'wanafunzi wa kike' mashuleni. Umeridhika?
ndugu lengo la mada ni kutafuta suluhu ya jambo hili na sio kuridhika mimi
 
Kausha hayo ndiyo marupurupu yanaitwa teaching allowances
Wahenga walisema utakula unapofanya Kazi
Unataka wakale barmaid? ? Mzee
 
walimu wa kike wanakwama wapi?,kwanini hawazichangamkii fursa kama wenzao wa kiume
 
Pamoja na serikali kuweka adhabu kali kwa wanafunzi lakini bado wamba wanabeti tu yani full kuruka nao kama kawaida
 
Walimu wana wakati mgumu sana bora hata hawa wa sasa watoto bado wadogo, mimi niliwahi kua mwalimu enzi zile watoto ni wakubwa, ilikua shida, shida tupu.

Asikudanganye mtu hawa watoto wana majaribu hasa ukiwa mwalimu una special au unique characters watakupa shida sana, unaweza kua unawakataa lakini vishawishi vyao ni ngumu kuviruka.

Wakati mwingi hawa watoto wanawaweka waalimu kwenye mazingira magumu ambayo kwa mwanaume ambae ni sexually active inakua ngumu asikwambie mtu.

Kupambana na hili ni kuondoa hii elimu ya mitihani, elimu iwe ni competence based na sio hii tests and exams based education.
ahsante kwa mchango wako
 
Habari wanaJF,

Kila kukicha kashfa ya ngono kwa waalimu dhidi ya wanafunzi inazidi kukita mizizi, licha ya adhabu kali zinazochukuliwa dhidi ya wabainika lakini bado imeshindikana kulidhibiti tatizo, je kwa mtizamo wako unadhani kipi kikifanyika kitasaidia kumaliza tatizo hili?
Kwanza hatua ya kwanza na ya awali kabisa yenye tija, ni kuwa Walimu wa kike wawafindishe watoto wa kike, kadhalika na Walimu wa kiume wawafundishe watoto wa kiume. Yaani kuwe na shule za wasichana peke yao ba wavulana peke yao. Kinyume na hapo, ni sawa na kupaka rangi upepo.

Ahsante.
 
Kausha hayo ndiyo marupurupu yanaitwa teaching allowances
Wahenga walisema utakula unapofanya Kazi
Unataka wakale barmaid? ? Mzee
ndugu kuna familia zinaishi maisha ya ajabu ajili ya jambo hili ndo maana nikaleta bandiko hili ili kama kutapatikana suluhu basi tuzinusuru familia zingine juu ya jambo hili
 
Sisi jamii na wazazi tuwe 'siriaz' dhidi ya watoto wetu na waalimu wao kama tulivyo 'siriaz' dhidi ya vibaka wa mtaani.

Unakuta binti anamwambia mwalimu ananitaka mzazi anachukulia poa
 
... kwa level za msingi na sekondari ufanyike mkakati wa makusudi ratio ya walimu wa kike iwe kubwa kuliko wa kiume; 3:1 say. Kwa mfano, masomo ya ualimu kwa walimu wa kike serikali igharamie 100% ila wa kiume wapigwe ada kubwa kuwa-discourage kusomea ualimu wa sekondari na msingi yaani ualimu iwe kazi ya kike zaidi. Hapa utaona automatically tatizo litapungua kwa 75%.
 
Mkuu ebu weka wazi uhusiano wa kutembea na mwanafunz na maisha ya ajabu ya familia
Sijakuelewa hapo mzee baba
ndugu kuna familia zinaishi maisha ya ajabu ajili ya jambo hili ndo maana nikaleta bandiko hili ili kama kutapatikana suluhu basi tuzinusuru familia zingine juu ya jambo hili
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom