Kipi kibaya zaidi. Kugonga binamu au kugonga shemeji?

mwanateknolojia

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
860
1,000
Binamu hapana huyu ni ndugu yako! Kwa upande wa shemeji unaweza kugonga ila asiwe mke wa mtu, hapa namaanisha usile shemeji mke wa kaka yako, lakini unaweza kula wadogo zake coz kuna makabila inaruhusiwa hata kuoa sehemu moja wewe na kaka yako na mdogo wako pia wote mkavuta wa tumbo moja!
 

Smart Guy

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
4,774
2,000
Wanawake walivyosheheni kwanini ni mdandie binamu au shemeji?.

Hiyo haijaka vyema kaka.

Kwa ufupi hawafai hao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom