Kati ya ndugu wa damu au asiye wa damu yupi wa kushirikiana nae ktk ujasiriamali

under timer

JF-Expert Member
Dec 25, 2021
289
450
Natumai mko vizuri kiafya, nina kiduka cha bidhaa mchanganyiko kama dona, mchele, mayai, pipi mixer mafuta nauza rejareja na mungu anajalia angalau riziki kidogo naipata.

Sasa kuna ndugu nashirikiana nao maana mie ni kijana mwepesi leo utanikuta dukan kesho namwachia shemeji wa kiume apige show me najikita ktk site za watu kupiga vibarua ili kipato kisogee. amin mungu anajalia ila sasa shida ipo kwa msaidizi sio mwepesi na pia anaonyesha dalili za kutokuwa mwaminifu.

Kabla ya shemeji alikuwepo mtoto wa kaka ang nae ni kichwa maji anawaz starehe kaz hataki lakini nikakumbuka kuna rafiki ang tulisom naye asa hivi yupo JKT, hakika ni mwelevu mchapakaz na mwaminifu na hizi sifa huwa naziona kwa mama ake ndo nikawaza yakuwa hivi siwezi pata mdogo ake na huyu rafk ang mwenye sifa km zake ili nimchukue tukomae naye.

UTATA NILIONAO
  • Je atakuwa mchapakazi
  • Ni mwaminifu toka moyon au ni muigizaji
  • Je, nikimchukua ndugu zang watachukua hatua gan, kushirikiana nae au ndo watakuwa warusha vijembe..... daaah mawazo yenu tafadhari
 
Maendeleo ni yako, duka lako halafu unawaza ukiajiri ndugu watasemaje
Unajua hapo ndipo mnapokwama waswahili
Kama kuna share za ndugu humo sawa, ila kama hawajaweekeza hata senti inawahusu nini na wao si wakatafute chao

Mnaendekeza sana huu ujinga
Ajiri hata gf wako so what wao watafute chao
Ndugu ndugu
 
Ndugu wa damu mkuu
ukiendekeza ndugu utavuna mabua.!!!

Kuna jamaa apa Kariakoo aliingia hasara ya 42m mwezi ulioisha kisa ndugu, mzigo wa Jersey umetolewa Airport fresh tu ila ukapigwa juu kwa juu haukuonekana dukani na mhusika ni ndugu yake.
Nilimshauri ampeleke Msimbazi Police ale virungu kidogo akadai ooh ndugu watamchukuliaje, oovyo kabisa.!!
 
Daaah
 
Ovyo kweli kweli undugu lawama sana.
 
ukiendekeza ndugu utavuna mabua.!!!

Kuna jamaa apa Kariakoo aliingia hasara ya 42m mwezi ulioisha kisa ndugu, mzigo wa Jersey umetolewa Airport fresh tu ila ukapigwa juu kwa juu haukuonekana dukani na mhusika ni ndugu yake.
Nilimshauri ampeleke Msimbazi Police ale virungu kidogo akadai ooh ndugu watamchukuliaje, oovyo kabisa.!!
🤣🤣🤣 Haya nimekuelewa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom