Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
hiyo ni kwa upande wa kujenga mahusiano ya maana kama alivyotaka kujua mleta thread
je ikiwa uhusiano usio na maana(casual dating,kudate mme/mke wa mtu n.k) unaangalia nini?
sijawahi na sitojaribu kuingia kwenye uhusiano usiokuwa na maana.
Kuna mwingine mwenye swali?