Mwanaume kumwambia msichana eti ni ww ni mzuri,.....mmmmmmmh_haya mawazo ndio yanayosababisha ushoga.....take itUkimwambia msichana ww ni mzuri hato kuamini na Ukimwambia ni mbaya atakuamini na hato kusahau daima
ukimwambia mzuri alafu ukaishia hapo hapo hatakuamini, ila ukimwambia mzuri alafu ukamuomba namba ya simu au ukaomba kutoka nae out, hatakama ulikuwa unamdanganya atakuamini.
well said!Mi ninavyo fahamu mwanamke anapendwa kusifiwa, na sidhani kama anaweza kutokuamini. Sifa kwa wadada ni kitu muhimu ktk kujenga ukaribu mkuu ...