Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 1,946
- 5,852
Ndugu zangu wana jf najua nyie ni wataalamu wakuyasoma matendo ya mtu na kutoa ushauri sahihi.
Wakuu nataka kuishi na huyu mwanamke kama mke wangu ila ananitatiza kidogo msomeni tabia yake alafu mniambie anafaa au hafai.
ALISHA WAHI KUA NA WAPENZI WA WILI WOTE WAKAMUACHA BILA SABABU , MWANZO WAKATI PENZI BADO BICHI SANA ALISHAWAHI KUNIJIBU KAMA NITAKUA NA MZUIA MAMBO YAKE BORA NIMPOTEZEE TUACHANE MAPEMA
TABIA ZAKE
1: Hajawahi kuniomba hela kabisa na hata nikimpa ananiambia ananifilisi ni tunze hizo hela zitatusaidia baadae
2: Hanipi kipaumbele kabisa kwenye mawasiliano na yeye yupo kwenye ule upande wa nakupenda pia, anaweza pitisha hata mwezi bila kunitafuta kabisa kama mimi nitaamua kupiga kimnya
3: Ni mlokole na anava nguo ndefu sana mpaka zina buruza chini huoni hata kiatu
4: Haoni shida kunipa utamu na yupo teyari, kuishi na kuzaa na mimi
5: Aliwahi nambia ana wivu sana hivyo nikimuoa lazima anichunge na hata nikifanya jambo la mashaka hato lala mpaka ni mpe majibu ya kueleweka
6: Nikiwa nae ana kwa ana anaonyesha kunipenda, kanionyesha kwao na wala hawazi chochote , tatizo nikisha kua nae mbali ananipotezea na wakati mwingine naona kama ananipuuza vile.
7: hapendi kabisa kuongea ni mkimnya mno , yani kumuongelesha ni kama natafuta ugomvi na yeye.
Asanteni