Kumeibuka tatizo la wanawake kupoteza maumbo yao ya kuvutia. Kipi ni chanzo?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Ama kweli, dunia inakwenda kasi sana. Kimvutiacho mwanaume dhidi ya mwanamke ni Nyashi. (Kiuno fulani hivi mbudule cha Nyigo, matikiti kudondokeana yaliyododa na kugawanyika ipasavyo, bila kusahau Nyonga mbinuko, zote mbili)

Miaka ya sasa kumeibuka kaugonjwa ka KE walio wengi kupoteza mvuto wao wa awali. Haka ka utafiti nimekafanya kwa miaka mitatu mfululizo. Yaani mwaka huu 2024 unakutana na mwanamke mwenye umbo lake la kutaraadad kama vile kajiumba mwenyewe, toto totolito kweli, mzigo huoooo mpaka nguo inataka pasuka, yaani ni full ndembe ndembe mwanapacome, kiasi kwamba Nick Minaj akasome. Cha ajabu Jan ya mwaka 2025, unabahatika kuonana na huyo mwanamke akiwa kama moja hata kizugio tu cha kumtofautisha ujinsia hana. Unakuta kabakiza sura tu

Ama, kitumbo mbele mbele kama fisadi, utambi huoooo, halafu cha kusikitisha nyuma kumekuwa pasid, mtindi huooo, yaani kama tisa vile. Shavu sasa kama Mifuko ya Ilala Bonyokwa

Nahisi ni mabadiliko ya tabia nchi sijui Ama njaa imezidi, ama sijui ni maawazo ya vikoba. Mi sielewi kabisa kwa kweli, labda tusaidizane kutambua

Kwa mimi binafsi, kila mwanamke ambaye alinikataa kuwa nami kimahusiano, alipoteza mvuto mwaka mmoja tu tokea kunikatili. Wengi wao hurejea kwangu wakiwa wanatia huruma pasi na kupatiwa rehema ya aina yoyote ile. Kuna Salome (amekuwa gunia), kuna Mary, kuna Eliza na rafikiye Pamela, kuna Nasra, hawa wamekuwa moja, wote wamepoteza mionekano yao ya mwanzo

Kipi kifanyike?
 
shida ipo kwenye ulaji babu, watoto wakike wanakula hovyo sana sikuhizi we asubuhi tu keshapakia furushi la mikate mchana ubwabwa jioni chips usiku pizza ama ubwabwa au ugali na kazi zao ndo hivyo nyepesi nyepesi hawatoi jasho laini laini sana!, unafikiri hiyo sukari inaenda wapi ndio maana sikuhizi dada zetu wanazaa sana kwa visu,presha na kisukari!.

kuna mmoja nilikutananae nikaangalia namna yake ya kula mh! nilichoka hapo anakitambi mpk anaona aibu!,mi nikamkalisha nikamuambia kwa ulaji huu hautatoboa! ameshaliwa pesa za gym sana tu lkn wapi na bado anaenda gym akifikiri atapunguza tumbo!..😂
upunguze tumbo na ulaji ni uleule uliona wapi, nilimwambia kwa asilimia takribani 70 dili na kula yako hiyo 30 fanya mazoezi naona kakaza shingo na mwili nao umemkazia shingo!.
anataka awe kipotabo atusumbue vijana lkn naona zoezi lishanshinda..

tayari kaanza gym muda tu na hakuna badiliko lolote bado yupo vilevile!..
 
Hili swali wapelekewe walijibu wenyewe wakiwa wamekusanyika Ijuma ya wiki hii
 
Back
Top Bottom