Kipi bora Ukweli ama uongo?

Regghan

New Member
Nov 25, 2011
4
1
Ukimwambia msichana ww ni mzuri hato kuamini na Ukimwambia ni mbaya atakuamini na hato kusahau daima
 
Ukimwambia msichana ww ni mzuri hato kuamini na Ukimwambia ni mbaya atakuamini na hato kusahau daima
Mwanaume kumwambia msichana eti ni ww ni mzuri,.....mmmmmmmh_haya mawazo ndio yanayosababisha ushoga.....take it
 
ukimwambia mzuri alafu ukaishia hapo hapo hatakuamini, ila ukimwambia mzuri alafu ukamuomba namba ya simu au ukaomba kutoka nae out, hatakama ulikuwa unamdanganya atakuamini.
 
ukimwambia mzuri alafu ukaishia hapo hapo hatakuamini, ila ukimwambia mzuri alafu ukamuomba namba ya simu au ukaomba kutoka nae out, hatakama ulikuwa unamdanganya atakuamini.

Mkuu Kweli?
 
Mi ninavyo fahamu mwanamke anapendwa kusifiwa, na sidhani kama anaweza kutokuamini. Sifa kwa wadada ni kitu muhimu ktk kujenga ukaribu mkuu ...
 
Wanawake wadanganye tu unakua umewaweza!Hata kama anafanana na bich koma,we mwambie hata Cleopatra kwako hafui dafu atakuamini!
 
Wewe mwambie tu leo umependeza inatosha sana. Hii ni kama amependeza kweli. Haya mambo ya uzuri na ubaya yana subjectivity kubwa sana. Mbaya kwako ni mzuri sana kwa ampendaye and vice versa.
 
Back
Top Bottom