Fungukeni wanawake hawapendi mwanaume mkweli

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Habari za usiku ..

Hakuna mwanamke anapenda kusikia ukweli kutoka kwa mwanaume yeyote yule... Amini na waambieni wanaume wenzangu.

Ukitaka kumpoteza mkeo, mpenzi wako au demu wako au mchepuko wako kirahisi kua mkweli kwake daima.. yani kila kitu mwambie ukweli na agundue kabisa humdanganyi hakika hatokaa hapo kwenye hayo mahusiano na wewe kabisa atakuona wewe ni fala tuu na hauna maajabu .

Fahamu wazi kabisa Wanawake wapo kihisia siku zote hawatumii akili kabisa katika maisha yao yote bali wanatumia hisia zao , na hisia zao zinawatuma wazi kabisa kuwa ukimwambia uongo ndio ukweli na ukimwambia ukweli ndio uongo and vice versa..

Hivyo wanaume wenzangu msiwasikilize hawa wanawake kabisa bali Tumieni akili kuishi na mwanamke hutojutia kamwe kichwa cha juu kikifeli kuapply akili zake za kumdanganya danganya mwanamke tumia akili za kichwa cha chini kurecharge kichwa cha juu..

Na wakati mwingine tumia vichwa vyote viwili mwanaume mwenzangu

Nb..Sasa msiseme hamkuambiwa.. shauri yenu
 
Kumpata mtoto wa kike lzm umdanganye yaan hata kama huna gorofa ww sema unalo ..tena wakijua tu umemdanganya hapo sasa ndio ata taka na yy apewe priority
 
Umesema kweli hawa wapo too emetional. Alichokisema jana hakikumbiki Kesho.
Ukishinda home kusikilizia michongo, kelele katafute pesa unalala hovyo tu home, usiposhinda home kukimbia kelele utaambiwa unazurura hovyo mikono mitupu si ukae home watoto wakuone
 
Habari za usiku ..

Hakuna mwanamke anapenda kusikia ukweli kutoka kwa mwanaume yeyote yule... Amini na waambieni wanaume wenzangu.

Ukitaka kumpoteza mkeo, mpenzi wako au demu wako au mchepuko wako kirahisi kua mkweli kwake daima.. yani kila kitu mwambie ukweli na agundue kabisa humdanganyi hakika hatokaa hapo kwenye hayo mahusiano na wewe kabisa atakuona wewe ni fala tuu na hauna maajabu .

Fahamu wazi kabisa Wanawake wapo kihisia siku zote hawatumii akili kabisa katika maisha yao yote bali wanatumia hisia zao , na hisia zao zinawatuma wazi kabisa kuwa ukimwambia uongo ndio ukweli na ukimwambia ukweli ndio uongo and vice versa..

Hivyo wanaume wenzangu msiwasikilize hawa wanawake kabisa bali Tumieni akili kuishi na mwanamke hutojutia kamwe kichwa cha juu kikifeli kuapply akili zake za kumdanganya danganya mwanamke tumia akili za kichwa cha chini kurecharge kichwa cha juu..

Na wakati mwingine tumia vichwa vyote viwili mwanaume mwenzangu

Nb..Sasa msiseme hamkuambiwa.. shauri yenu
Mimi sipo kwenye kundi hilo ni bora uniambie ukweli niamue kuukubali au kuukataa ili likinipata jambo nijue kabisa niliambiwa sio unidanganye nikija kujua sina msamaha

Muda mwingine ndo maana mnaona waume za watu wanapendwa ni kwa sababu wanakuwaga wa kweli wanampa mtu choice ya kuchagua
(According to baadhi ya wanawake wenzangu😀😀😀
 
Mimi sipo kwenye kundi hilo ni bora uniambie ukweli niamue kuukubali au kuukataa ili likinipata jambo nijue kabisa niliambiwa sio unidanganye nikija kujua sina msamaha

Muda mwingine ndo maana mnaona waume za watu wanapendwa ni kwa sababu wanakuwaga wa kweli wanampa mtu choice ya kuchagua
(According to baadhi ya wanawake wenzangu[emoji3][emoji3][emoji3]
Hii ni kweli lakini sasa hautowapata wengi,[emoji23] mwanaume anataka ale pisi nyingi as possible, hii strategy ndo nzuri[emoji23]
 
Back
Top Bottom