"Kipele G" kimenisaidia kuimarisha mahusiano yangu

"Kipele G" kimenisaidia kuimarisha mahusiano yangu

Amani ya bwana itawale jamvini,

Aisee kumbe ule ujanja wa kupiga goli 7/10 kumbe ni ujinga na kujiumiza tu na ndomana kelele za ukosefu wa nguvu za kiume haziwezi kuisha kwa wanaume zile habari za kumkomoa mwanamke kwa kumshindilia lundo la magoli ili uonekane ni kidume cha mbegu ni ulimbukeni tu na kujiua mwenyewe.

Dawa ya mwanamke ni ndogo tu mjomba tembea na sehemu muhimu tu.Ukimaliza kutembea na maeneo muhimu piga goli zako 2/3 umemaliza biashara.Ujanja wa mwanamke upo katika eneo dogo tu linaitwa "kipele g".Ukiwa mtaalamu wa kucheza na hii kitu mwanamke hachomoki na jiandae kukinga sio chini ya lita3 za maji.

Angaika kote lakini "kipele g" ndio mwisho wa matatizo.Lazima afike kwenye "top of the hill" haruki na ukianza kugonga nyundo zako we kigonge tu "kipele g". Atapiga kelele kama Nguruwe anachinjwa.Ukifanya hivi hata ukipiga goli zako 2/3 za kifaza huna deni na mtu na heshima inakuwepo.

Naongea kwa experience na nina uhakika na ninachokiongea. Mwenye masikio na asikie turudishe heshima zetu.
Sasa mkuu si ungeweka kinaga ubaga hiko kipele "G" kinapopatikana kama vipi hata kijipicha unaweza kutupia,na wewe huwa unakifanyaje hiko kipele,weka maufundi basi mkuu na sisi tupate maarifa
 
PM Zimekua Nyingi Sana Za Wadau Wanaotaka Kufahamu Kipele G Kinapopatikana.Nimeshindwa Kuzijibu Zote.

Kwahiyo Nimeamua Nitoe Maelezo Ya Jumla Na Kila Mtu Aweze Kufaidika.

Kila Mwanamke Anacho Kipele G.Ukitaka Kujua Kipele G Cha Mpenzi Wako Kilipo.Fanya Zoezi Lifuatalo.

Mlaze Mpenzi Wako Chali Kitandani(au Mkalishe Kwenye Kochi)uku Amepanua Miguu Yake

Tumia Kidole Chako Cha Kati(index Finger).Ingiza Kenye Papuchi Yake Kiasi Ambacho Utaweza Kuingiza.Ukiweza Kukizamisha Chote Ni Vizuri Zaidi(hakikisha Umekata Kucha Zako Vizuri)

Anza Kukikunja Kidole Chako Taratibu Kwa Kwenda Juu(husikunje Kuelekea Chini).Kunja Kama Vile Unakirudisha Kurudi Kwako.Endelea Kukikunja Polepole Kwa Ndani Mpaka Uguse Ukuta Wa Papuchi Kwa Juu Kwa Ndani Ya Papuchi.

Anza Kuupapasa Huo Ukuta Wa Juu Mpaka Uguse Sehemu Panapokwaruza Kuliko Kwingine.Hiko Ndo Kipele G Na Ndo Utamu Wote Ulipo(kwa Kawaida Sehemu Ya Ndani Ya Papuchi Ni Laini Lakini Ya Kipele G Iko Rafu Kidogo Na Inakwaruza

Cheza Sana Na Hayo Maeneo.Kwisha Habari Yake!
 
Ukiwa Unapiga Nyundo Zako Piga Katika Angle Ambayo Dushe Lako Litakua Linakigonga Kile Kipele G Kila Wakati.Au Tafuta Staili Nzuri.Au "Mmanue" Vizuri Husimuonee Huruma.Mwanzoni Ataona Adhabu Kidogo.Lakini Ukianza Kukigonga Vizuri Kile Kipele G Chake.Atalegea Na Atazidi Kujimanua Mwenyewe.Coz Utamu Wake Husipime!
 
wife nampiga moja tu yeye anaenda hadi tisa mpaka kumi na mbili....ni mjamzito sasa sijui kwasababu ya hali yake au vipi!?? nikitaka tena nabaniwa sijui inakuaje hivi
 
Nashukuru kwa leo na wewe kulielewa hilo kama mm nikipiga goli mbili aise nikiomba ya tatu hawezi kabisa kukubali kwa sababu mwanamke mara nyingi anamaliza mara moja tu kuja kurudi tena kwenye morali ni muda mrefu sana. mimi nilikuwa nikijiuliza eti mwanaume mzim nPIG goli nne aisee lazima uwe na matatizo tena uje nikutibu tu maana hahuna namna nyingine yeyote ile ni kukutibu tu.

Hao wanaopiga magoli meeengi ndio wale wasiosugua vizuri yaani wao ni kama kile cha jogoo tu cha dakika kadhaa
 
Hayo Maneno Ya Kwenye Khanga Mkuu.Ukiyaendekeza Utachekwa Mpaka Na "Manyani Dume Kwenye Miti Ya Minyanya".Shauri Yako We Karia Upashukuna Tu!

Msamehe atakuwa na damu ya huko Rombo
 
PM Zimekua Nyingi Sana Za Wadau Wanaotaka Kufahamu Kipele G Kinapopatikana.Nimeshindwa Kuzijibu Zote.

Kwahiyo Nimeamua Nitoe Maelezo Ya Jumla Na Kila Mtu Aweze Kufaidika.

Kila Mwanamke Anacho Kipele G.Ukitaka Kujua Kipele G Cha Mpenzi Wako Kilipo.Fanya Zoezi Lifuatalo.

Mlaze Mpenzi Wako Chali Kitandani(au Mkalishe Kwenye Kochi)uku Amepanua Miguu Yake

Tumia Kidole Chako Cha Kati(index Finger).Ingiza Kenye Papuchi Yake Kiasi Ambacho Utaweza Kuingiza.Ukiweza Kukizamisha Chote Ni Vizuri Zaidi(hakikisha Umekata Kucha Zako Vizuri)

Anza Kukikunja Kidole Chako Taratibu Kwa Kwenda Juu(husikunje Kuelekea Chini).Kunja Kama Vile Unakirudisha Kurudi Kwako.Endelea Kukikunja Polepole Kwa Ndani Mpaka Uguse Ukuta Wa Papuchi Kwa Juu Kwa Ndani Ya Papuchi.

Anza Kuupapasa Huo Ukuta Wa Juu Mpaka Uguse Sehemu Panapokwaruza Kuliko Kwingine.Hiko Ndo Kipele G Na Ndo Utamu Wote Ulipo(kwa Kawaida Sehemu Ya Ndani Ya Papuchi Ni Laini Lakini Ya Kipele G Iko Rafu Kidogo Na Inakwaruza

Cheza Sana Na Hayo Maeneo.Kwisha Habari Yake!

Mkuu umesahau kusema mwenye kibamia haimfai hii.
 
Back
Top Bottom