william shemndolwa
New Member
- Mar 21, 2015
- 2
- 0
Vizuri nilichokisoma.
Hili somo linawafaa "Wa-Rombo"!!
Kuna siku humu ndani mtakuja kutoa ushuhuda jinsi tiGo inavyoimarisha uhusiano wenu.
kwa jinsi ulivyoandika unaonekana hujaanza mda mrefu kufanya mapenzi, kwa watu kama sisi zaidi ya 25 years tunakula ivyo vitu, hii topic haituhusu. pia, mwanaume anayepiga goli saba mpaka kumi hayuko, labda awe na matatizo ya pre-ejuculation dakika tano tu kakojoa, tano nyingine kakojoa, ila kwa mwanaume anaeenda hadi dakika 25 au nusu saa ndio akojoe, anapiga mawili matatu tu yanamtosha, na hapo mwanamke ndiye anatakiwa kupiga hayo mengi, aende hata kumi atajua yeye, wanawake ndio wanakojoa mengi ila wanaume hayo uliyoyataja wewe ni ndoto za kusikia tu. unahitaji kicheni pati kabisa kwasababu wewe bado mchanga kwenye hayo mambo.Amani ya bwana itawale jamvini,
Aisee kumbe ule ujanja wa kupiga goli 7/10 kumbe ni ujinga na kujiumiza tu na ndomana kelele za ukosefu wa nguvu za kiume haziwezi kuisha kwa wanaume zile habari za kumkomoa mwanamke kwa kumshindilia lundo la magoli ili uonekane ni kidume cha mbegu ni ulimbukeni tu na kujiua mwenyewe.
Dawa ya mwanamke ni ndogo tu mjomba tembea na sehemu muhimu tu.Ukimaliza kutembea na maeneo muhimu piga goli zako 2/3 umemaliza biashara.Ujanja wa mwanamke upo katika eneo dogo tu linaitwa "kipele g".Ukiwa mtaalamu wa kucheza na hii kitu mwanamke hachomoki na jiandae kukinga sio chini ya lita3 za maji.
Angaika kote lakini "kipele g" ndio mwisho wa matatizo.Lazima afike kwenye "top of the hill" haruki na ukianza kugonga nyundo zako we kigonge tu "kipele g". Atapiga kelele kama Nguruwe anachinjwa.Ukifanya hivi hata ukipiga goli zako 2/3 za kifaza huna deni na mtu na heshima inakuwepo.
Naongea kwa experience na nina uhakika na ninachokiongea. Mwenye masikio na asikie turudishe heshima zetu.
Hamna cha kipele G wala K mapenzi pesa ufundi peleka veta
Nini kipele g we sema tu kuna funguo za gari hizi hapa utasikia baaabyyy ammm kamiiinggg sasa wewe tafuta kipele sijui chaupele ubakie unawasha taa
Kwakweli haya mambo kila m2 na lake, lakin xijawah kuxikia ME Akijitapa kuwa KAZAMA CHUMVIN, Ni kuambizana 2, mtawafanya mpaka wanaojua wahix hawajui, hizi thread hazitaixha maana kila atakaejua anaanzisha thread!!
Amani ya bwana itawale jamvini,