DOGofGOD
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,341
- 480
- Thread starter
- #21
Wadau Wenye Usongo Wa Kuhakikisha Mahusiano Yao Hayateleleki.WameniPM Ili Kuweza Kupata Maujanja Ya Hii Kitu.Na Nawaomba Wawe Wavumilivu Kidogo Ntawajibu Wote PM Zao.Kwasababu PM Zimekua Nyingi Sana Zaidi Ya 70.
Kwa Wale Wanaodhani Kua Pesa Ndo Zitawasaidia Kuboresha Mahusiano Yao.Wakae Wakijua Kua Mwanamke Atakupenda Na Atakufata Nyuma Kokote Uendako Kama Nyuki Na Maua.Lakini Hawezi Kukupata Heshima Kama Humpi Habari Yake
Heshima Kwa Mwanamke Ni Kumtengeneza Vizuri Kunako 6*6.Wataendelea Kugongewa Na Maburungutu Yao.
Utagandwa Kwa Pesa Zako Lakini Utagongewa Kwa Uchovu Wako.