Kipanya: Tazameni alichokuja nacho leo

Kipanya: Tazameni alichokuja nacho leo

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
42,759
Reaction score
50,843
1743744325282.png
 
Hizo ni gravestones (makaburi) akimaanisha anaelekea ikulu kwa kumwaga damu ya watu...au tafsiri nyingine ataingia ikulu..lkn damu itamwagika....ngoja tuone
Mkuu ulishawahi kuona wapi grave stones yenye ncha? Hapo sio kabisa.
 
#Naona CCM kushika Nchi tena 2025-2030
#Naona Baadhi ya Wakeleketwa wa CCM kugonga Nyundo Usukani wa Gari Lao
#Naona Raisi mwingine na Siyo SSH.
#Naona Chadema Kulegeza Kamba za SSH.
 
Bora Punda afe lakini mzigo Ufike!
Safari ya Kubaki Chamwino!
 
Back
Top Bottom