Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,153
- 28,762
Ukweli ni kwamba bila kuwa raisi wa kurithi Samia hata siku moja asingechaguliwa kuwa raisi wa Tanzania. Pamoja na kuwa ni raisi inabidi atumie nguvu kubwa sana na fedha nyingi kuendelea kuwa raisi, kuliko maraisi wote waliowahi kugombea awamu ya pili wakiwa madarakani. Kwa hiyo anatambua kwamba Watanzania wasiomtaka aendelee kuwa raisi wapo wengi tu.