Kipanya Pasua Kichwa

Kipanya Pasua Kichwa

nyumbatatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,076
Reaction score
940
wp_ss_20171011_0002.png
 
Ndio akili halisi za watu wengi. badala ya kubuni namna ya kujitoa ulipo kwa kujifunza kwa aliyekuzidi, wewe unafirahi aliyekuidi muwe masikini wote
asilimia 90 ya wa tz ndio mawazo yao hayo
 
Hata raisi amesema tawashusha mishahara na serikali yake ni rafiki wa walalahoi. Maana yake ukijitahidi kuondokana na umasikini ushajitengenezea uadui na serikali
 
Hizo ndo akili za mashabiki wote wa mkulu ukitoa wale wa buku saba na walio kwenye system
 
Back
Top Bottom