Me siwez kuzingua oyaa, au mnasemaje!Mbona kama mkaimu analeta utoto kwenye mambo ya msingi 🤔
Hahaha qmamaeKwamba makamo ni bado jeniziii sana! Mwenzie anaongelea mambo nyeti yeye anawaza weldikapu
Hahaha oyaKwamba makamo ni bado jeniziii sana! Mwenzie anaongelea mambo nyeti yeye anawaza weldikapu
Nikiisoma picha:
angeweza kufundihswa na kuelewa ila sio kwa upepo uliopo sasa....hapo alitakiwa mtu aliyekomaa sana!!Makamu anatakiwa awe mshauri wa Rais, sasa huyo mvulana kwa utoto wake hapo hata haelewi nini anachoambiwa na boss wake.
Anatakiwa aanze kufundishwa moja kama katoto cha nursery.
kwa msaada wa watu wa Marekani....Ooops...AINikiisoma picha:
1. Mtu aliyekaa mezani anasema: “NATAKA NIMTOE MAVUNDE” — yaani kuna mtu mwenye mamlaka anataka kumtoa Anthony Mavunde kwenye nafasi yake.
2. Mtu mwenye suti ya bluu anasema: “SPAIN NDO BINGWA WORLD CUP!” — anaingiza habari ya mpira katikati ya jambo la kisiasa.
3. Hii ni kejeli ya kupunguza uzito wa hoja: badala ya kujadili kwa umakini kama Mavunde aondolewe au la, mhusika anaonekana kujikita kwenye jambo jingine—Spain na World Cup.
4. Kwa hiyo, Kipanya anaweza kuwa anacheza na wazo kwamba “kumtoa Mavunde” si jambo rahisi, au kwamba mjadala wa kisiasa umechanganywa na ushabiki/masuala mengine yasiyohusiana.
Ukimfuata yule bibi,ukimpa Phd ya bure,anambadilisha anaweka hapo mwingine!Kwamba, na huyo hawako pamoja! Kazi ipo