Kipanya na hali ilivyo ndani ya CCM

Kipanya na hali ilivyo ndani ya CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,268
Wajameni wenye macho na watazame na wale wakali wa ujuzi wa kusoma habari picha basi mtufungue macho hapo chini.

Screenshot_20200208-104019.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza wamekaa baharini, ambapo tafsiri yake wakicheza vibaya chombo kinazama muda wowote.

Pili, bwana mkubwa aliyeko hapo anaonekana hajashika karata yoyote, inamaana kama ni mchezo basi yeye hayumo kabisa japo ni kiongozi.

Tatu, waloshika karata wote wanaonesha wameshika magarasa, ambayo hayawezi wasaidia chochote kwenye mchezo.

Nne, waliopo kwenye mchezo inaonekana hawana ushirikiano, kuna ambao wameziacha karata zao na wamezama chini ya meza, ila kwa kuwa wamo baharini watakimbilia wapi?

Tano, kati ya watu tisa wenye karata, ni mmoja tuu ndio kafunua karata zake(mwenye kopa), lkn sura yake haionekani. Mwingine kafunua karata za mwenzake ambaye ameingia ndani ya uvungu wa meza lkn zake hajazifunua.

Sita, kuna papa wawili wanawanyemelea. Hivyo mchezo wao unaonekana hauna maana kwa sasa. Wanachotakiwa waangalie kwa sasa ni usalama zaidi kuliko huo mchezo wao usio na mbele wala nyuma.


Unforgetable[/b]
[/b]
 
Back
Top Bottom