Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,956
Hujamuona Mwenye Dume La Mavi Ya Mbuzi 😄😅😅
Siyo mavi ya mbuzi ni mavi ya nguruwe hayo.
Hujamuona Mwenye Dume La Mavi Ya Mbuzi 😄😅😅
Huyo mwenye dume la " kopa" sijui atakuwa nani?
ni Bashiru huyo si unaona anavyotetemeka mikono
Kamati iliyomuita membe ilishindwa kumhoji bali walikuwa wakicheza karata na yeye alikuwa mbele yao