Kamati iliyomuita membe ilishindwa kumhoji bali walikuwa wakicheza karata na yeye alikuwa mbele yao
Huku chini .....mafuliko, kuzama kunaweza tokea
Pembeni.....papa wanamendea (Mabeberu)
CCM wachache hadharani......wengine chinichini, (Kuna sumu za kutosha ndani)