Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
HusiyejielewaWE LOFA TU HUSIYEJIELEWA, NA ATA UKATIBU WA KIJIJI HAWATAKUPATIA
Ata
Dah kiwango Cha elimu kimeshuka sana
HusiyejielewaWE LOFA TU HUSIYEJIELEWA, NA ATA UKATIBU WA KIJIJI HAWATAKUPATIA
na pia mlingano wa size za viti ni dhahiri muhojiwa yupo juu ya hao wanaumuhoji. Maana kuna wanaonekana wanajificha kabisa aidha kwa uoga ama kwa kutokuwa na sauti.Kwanza wamekaa baharini, ambapo tafsiri yake wakicheza vibaya chombo kinazama muda wowote.
Pili, bwana mkubwa aliyeko hapo anaonekana hajashika karata yoyote, inamaana kama ni mchezo basi yeye hayumo kabisa japo ni kiongozi.
Tatu, waloshika karata wote wanaonesha wameshika magarasa, ambayo hayawezi wasaidia chochote kwenye mchezo.
Nne, waliopo kwenye mchezo inaonekana hawana ushirikiano, kuna ambao wameziacha karata zao na wamezama chini ya meza, ila kwa kuwa wamo baharini watakimbilia wapi?
Unforgetable
WE LOFA TU HUSIYEJIELEWA, NA ATA UKATIBU WA KIJIJI HAWATAKUPATIA
Hao papa ni 'mabeberu'KAMA KWELI IVI, ILA KWA MBAALI UNAWAONA PAPA, HAPO SIJUI MAANAKE NINI?
Hao ndiyo wanao ifanya ccm kuendelea kuwepoWE LOFA TU HUSIYEJIELEWA, NA ATA UKATIBU WA KIJIJI HAWATAKUPATIA
Wacha mbwembwe wewe, hili siyo jukwaa la kiswahiliLOFA = ROFA
HUSIYEJIELEWA = USIYEJIELEWA.
ATA = HATA.
JIFUNZE PIA KUUNGANISHA MANENO KWA KISWAHILI.
Nenda kwanza shule kajifunze kusoma na kuandika ndio uje humu JF.
Kwani huyo Bashiru sianatoka kwa kina Zitto Kabwe, inakuwaje hajiamini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatokea Kagera japo inawezekana akawa na asili ya Rwanda au Uganda
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mkuu umetisha hata kama sio dhumuni lafanani ila nimeipendaKwanza wamekaa baharini, ambapo tafsiri yake wakicheza vibaya chombo kinazama muda wowote.
Pili, bwana mkubwa aliyeko hapo anaonekana hajashika karata yoyote, inamaana kama ni mchezo basi yeye hayumo kabisa japo ni kiongozi.
Tatu, waloshika karata wote wanaonesha wameshika magarasa, ambayo hayawezi wasaidia chochote kwenye mchezo.
Nne, waliopo kwenye mchezo inaonekana hawana ushirikiano, kuna ambao wameziacha karata zao na wamezama chini ya meza, ila kwa kuwa wamo baharini watakimbilia wapi?
Tano, kati ya watu tisa wenye karata, ni mmoja tuu ndio kafunua karata zake(mwenye kopa), lkn sura yake haionekani. Mwingine kafunua karata za mwenzake ambaye ameingia ndani ya uvungu wa meza lkn zake hajazifunua.
Sita, kuna papa wawili wanawanyemelea. Hivyo mchezo wao unaonekana hauna maana kwa sasa. Wanachotakiwa waangalie kwa sasa ni usalama zaidi kuliko huo mchezo wao usio na mbele wala nyuma.
Unforgetable[/b][/b]
Kamati hiyo ilikaaje baharini penye papa lakini isizame?Kamati iliyomuita membe ilishindwa kumhoji bali walikuwa wakicheza karata na yeye alikuwa mbele yao
Unajitoa ufahamu au sio?Kinachoonekana ni makada wako busy kazini mvua na jua vinawanyeshea wakiwatumikia watanzania VIVA JPMA, VIVA CCM.. Macomredi wanapiga kazi balaa, kifupi wako field muda wote wakiongozwa na jemedari JPM..
inaitwa Kindengundenguni Bashiru huyo si unaona anavyotetemeka mikono
Ngumu kueleweka mkuuWajameni wenye macho na watazame na wale wakali wa ujuzi wa kusoma habari picha basi mtufungue macho hapo chini.
View attachment 1350558
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee humu ndani kuna great thinkers, au wewe ni kipanya?Kwanza wamekaa baharini, ambapo tafsiri yake wakicheza vibaya chombo kinazama muda wowote.
Pili, bwana mkubwa aliyeko hapo anaonekana hajashika karata yoyote, inamaana kama ni mchezo basi yeye hayumo kabisa japo ni kiongozi.
Tatu, waloshika karata wote wanaonesha wameshika magarasa, ambayo hayawezi wasaidia chochote kwenye mchezo.
Nne, waliopo kwenye mchezo inaonekana hawana ushirikiano, kuna ambao wameziacha karata zao na wamezama chini ya meza, ila kwa kuwa wamo baharini watakimbilia wapi?
Tano, kati ya watu tisa wenye karata, ni mmoja tuu ndio kafunua karata zake(mwenye kopa), lkn sura yake haionekani. Mwingine kafunua karata za mwenzake ambaye ameingia ndani ya uvungu wa meza lkn zake hajazifunua.
Sita, kuna papa wawili wanawanyemelea. Hivyo mchezo wao unaonekana hauna maana kwa sasa. Wanachotakiwa waangalie kwa sasa ni usalama zaidi kuliko huo mchezo wao usio na mbele wala nyuma.
Unforgetable[/b][/b]
Ndo mnavyojidanganya hapo lumumbani?Kinachoonekana ni makada wako busy kazini mvua na jua vinawanyeshea wakiwatumikia watanzania VIVA JPMA, VIVA CCM.. Macomredi wanapiga kazi balaa, kifupi wako field muda wote wakiongozwa na jemedari JPM..