Wasanii wabunifu kama Kipanya, huwa wanamtizamo mpana sana. Hii katuni inaweza kuandikia kitabu kizima kulingana na mapungufu yaliyopo. Ila kama ni werevu, wanaweza tumia ujumbe huu kujirekebisha/kujisahihisha badala ya kuanza kumzonga Kipanya wa watu.