Kigongoi kwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 574
- 684
Msimlaumu,ana ufahamu mdogo sana kuhusu Uhuru wa habari
Masoud ni yeye kweli? Naona kama si uchoraji wake!?
Wanajielewa basi!Halafu mnasema kweli nchi hakuna uhuru wa vyombo vya habari
Nunua brush mpya Lissu anarudi urudie ile kazi yako ya kiwi!Wakuu hii picha nimekutana nayo mahala fulani ila nimeshindwa kuielewa ina ujumbe gani.
Naombeni tafadhali mwenye utaalamu wa kusoma habari picha anifumbue macho.View attachment 1184806
Halafu mnasema kweli nchi hakuna uhuru wa vyombo vya habari
Lissu kiboko yenu na sasa anakwenda kuwa rais wenu
Kazi ni kazi ili mradi iwe ya heshima kuliko wewe unaye shinda hapo lumumba ukiramba miguu ya chakubanga
Ebu nitonye Bibi Titi ofisi gani? Ni jike au dume ? But i guess ni jike maana andika yake unaona kuwa huyu ...Yupo kama nyani mzee pale bibititi
Kama kazi watu wanafanya sana utakuta wakulima wanalima mazao yao kwa ghalama zao lkn wakishavuna tu wanapangiwa wakauze wapi au wanakopwa mazao yaoFanyeni kazi kwa bidii,kuilalamikia serikali kwa maisha magumu ni kujichelewesha,serikali haikupi pesa mkononi