Masoud ni yeye kweli? Naona kama si uchoraji wake!?
Hicho kwako wewe ndiyo unaona ni uhuru wa vyombo vya habari? Kwani kuna jambo limesemwa hapo la kuwaudhi walioko madarakani?Halafu mnasema kweli nchi hakuna uhuru wa vyombo vya habari
Inaonyesha ni jinsi gani vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na bugirichato AKA Serikali tangu 2015 vinavyofanya maisha kuzidi kuwa magumu hadi kutishia maisha ya wanyonge.
Eti LAIS wa wanyonge! [emoji15][emoji15][emoji15]
"Signature" ya Masoud nimeiona lakini "Signature" yake kwenye uchoraji ni kuwepo kwa Kipanya na hapo hayupo. Hiyo picha ina "Signature" ya uchoraji wa Nathan Mpangala!Soma signature yake mkuu..
Kwani uhuru wa habari ni fadhila ama hisani?Halafu mnasema kweli nchi hakuna uhuru wa vyombo vya habari
Utaendelea kuwa mpiga deki hivyo hadi unakufa lichama lako halijaenda ikuluInaonyesha ni jinsi gani vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na bugirichato AKA Serikali tangu 2015 vinavyofanya maisha kuzidi kuwa magumu hadi kutishia maisha ya wanyonge.
Eti LAIS wa wanyonge! [emoji15][emoji15][emoji15]