Kipanya kanichanganya

Kipanya kanichanganya

Masoud hachori katuni nyepesi hivi kufumbua hata mtoto...Mkono wa kipanya lazima utulie utafakari Katuni zake zinatumia Ubongo ule wa ndani kbsaaaaaa..

na sio hiyo ya kama kumsukuma mlevi tu...Huyo katumia sign ya masoud ila kazi sio ya kipanya masoud.
 
utakuwa kilaza sana kama hujaielewa
endelea kutoielewa mkuu
 
Wakuu hii picha nimekutana nayo mahala fulani ila nimeshindwa kuielewa ina ujumbe gani.

Naombeni tafadhali mwenye utaalamu wa kusoma habari picha anifumbue macho.View attachment 1184806


Chadema kwa kufoji hadi vikatuni.. Yaani policies zimewaishia kabisa now you are practicing dirty politics..!

Hadi vikatuni mna forge? Haa kwisha habari yenu
 
Chadema kwa kofoji hadi vikatuni.. Yaani policies zimewwishia kabisa now you are practicing dirty politics..!

Hadi vikatuni mna forge? Haa kwisha habari yenu
CHADEMA inahusikaje hapa? Na wewe umewezaje kujua kama mleta mada ni CHADEMA wakati katumia jina la bandia!?
 
yaani mwananchi kakandamizwa na dola haitoshi,likaja kwa juu lichama,lidola halina huluma hadi lichama linamuonea huluma mwananchi.
 
Halafu mnasema kweli nchi hakuna uhuru wa vyombo vya habari
wawarudishe kina Kabendera, Azory, nk and we'll tell you kuna uhuru au la.

wafungulie magazeti waliyoyafungia.

wasiwe wanasema "... you're not free to that extent".

wakiri makosa na kuwaomba radhi Klauz na Nape kwa ule uvamizi wa jambazi Bashite!
 
Unamjuaje mtu anayetumia jina la bandia!?


Sbb uelewa wako wa IT mdogo sana, IP address + location + handset anayotumia IMEI + chip all make easier and accurate way to know each and everyone kokote uliko duniani.. Hata uwe na majina bandia milioni au bilions, few mins unajulikana, hata ubadili lines milioni kwa majina tofauti, unajulikana kwa usahihi kabisa.. Kumbe unajidanganya hujulikani?

Futa hayo mawazo local and outdated kabisa.
 
Kumbe unajidanganya hujulikani?

Futa hayo mawazo local and outdated kabisa.
Aisee, Wewe mkali. Sasa ni kwa nini serikali ilifungua kesi kuwashitaki kina Mello kwamba wanakataa kutoa majina ya wanachama wao kama kazi ni rahisi namna hiyo??

Halafu mimi najulikana kwa kuwa natumia majina yangu halisi.
 
Chadema kwa kufoji hadi vikatuni.. Yaani policies zimewaishia kabisa now you are practicing dirty politics..!

Hadi vikatuni mna forge? Haa kwisha habari yenu
7000 tu ndo inakupa kiburi cha kuropoka hivyo
 
Aisee, Wewe mkali. Sasa ni kwa nini serikali ilifungua kesi kuwashitaki kina Mello kwamba wanakataa kutoa majina ya wanachama wao kama kazi ni rahisi namna hiyo??

Halafu mimi najulikana kwa kuwa natumia majina yangu halisi.


Kama huamini, zusha au fanya kitu kibaya online kisha kisambaze mitandaoni, alafu tumia majina bandia uone kama kesho asubuhi utakuwa wapi.. sema serikali inaachia tu mambo mengine muwe huru, sio haijui.. Sijui unanielewa?
 
Afadhali ya mpiga deki maana anapata kipato halali cha kuendesha maisha yake kuliko wewe unaye ramba viatu na kuwakatikia mauno
Utaendelea kuwa mpiga deki hivyo hadi unakufa lichama lako halijaenda ikulu
 
Walipo ambiwa kuisoma namba walidhania ni special kwa wapinzani na wao wakawa wanaitikia kama mapopo
Maisha ni magumu sana mtaani asikwambie mtu.
Wanyonge tunakula kitanzi cha kufa mtu.

MaCCM mtaani yanaumia sawa tu na sisi tuliokataa hili lichama la watekaji.
Achana na hawa wanaolipwa mitandaoni, hali ni mbaya sana,
 
Labda anamaanisha kuwa kutolwenda kwa chama lake ikulu ndiyo kumeiinua shilingi ya tanzania dhidi ya dola ya marekani
Kutokwenda kwa chama lake Ikulu kunasaidia vipi watanzania kuwa na maisha bora!?
 
Back
Top Bottom