Kipanya kanichanganya

Kipanya kanichanganya

Unamwita aje akupe kibarua!
Kwangu Mimi nilishajikomboa kutoka kwenye huo utumwa wa kuajiriwa kama wewe.
Mimi nina mashamba makubwa sana na naweza kukuajiri shambani kwangu ukaishi kwa heshima.
Karibu Kakonko
 
Chadema kwa kufoji hadi vikatuni.. Yaani policies zimewaishia kabisa now you are practicing dirty politics..!

Hadi vikatuni mna forge? Haa kwisha habari yenu
Avatar unayoitumia iko tofauti sana na wewe.
 
Kama huamini, zusha au fanya kitu kibaya online kisha kisambaze mitandaoni, alafu tumia majina bandia uone kama kesho asubuhi utakuwa wapi.. sema serikali inaachia tu mambo mengine muwe huru, sio haijui.. Sijui unanielewa?
Sio kila kifaa cha kielektroniki kinaweza kuingiliwa kiurahisi!!
 
Sio kila kifaa cha kielektroniki kinaweza kuingiliwa kiurahisi!!

Don't lecture me, i am the brain behind electronic engineering ..!! Be cautious, all gadgets as far as unatumia network utakamatwa kama kuku i told you, hata kama your cellphone haitumii data, as long unatumia line ya simu, utadakwa kama kuku kama unamakosa..!! Huelewi au.
 
Huelewi au.
Wewe ndiyo huelewi. Nakwambia siyo kila kifaa cha Kielektronik ni rahisi kudukuliwa. Ndiyo maana nakwambia kama ni rahisi namna hiyo ni kwa nini serikali inang'ang'ania JF ndiyo iwatajie majina halisi ya wanachama wake badala ya serikali yenyewe kudukua tu na kuwajua?

Halafu si lazima kutumia kiingereza ili kuonesha kwamba unajua jambo. Kiingereza ni kama kindengereko tu acha kogo zisizo na maana!!
 
Back
Top Bottom