Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
- Thread starter
- #41
Naamini maneno yako ila ujumbe uliomo ndani yake nadhani unatafakalisha
Masoud hachori katuni nyepesi hivi kufumbua hata mtoto...Mkono wa kipanya lazima utulie utafakari Katuni zake zinatumia Ubongo ule wa ndani kbsaaaaaa..
na sio hiyo ya kama kumsukuma mlevi tu...Huyo katumia sign ya masoud ila kazi sio ya kipanya masoud.