bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,705

Kwa iyo ni msg kwa Lisu? kwa iyo kipanya yupo upande wetu au wao?duuh panya wanatafuna mtumbwi ambamo wamepanda
Mkuu we ndo kipanya.Nilivyoelewa:
Mtumbwi (Muhogo) - Tanzania
Manahodha wa mtumbwi - Hata mimi siwajui mana sina mkojo wakupeleka kwa mkemia mkuu sina.
Manahodha wa mtumbwi ndio watakaozamisha huo mtumbwi kutokana na maamuzi yao ya kipumbavu, wanaamua kula muhogo bila kujali kwamba wanahatarisha maisha ya panya hao wengine ambao wao hawali sehemu yoyote ya mtumbwi.
Mimi KipakaMkuu we ndo kipanya.
hahahaTuko kwenye mtumbwi ila wasaliti wanakula uo huo mtumbwi tuliomo.
Any way, rais wakabe wote akina LT hadi wataje wahusika wote walipo.
Aonyeshe kwanza ni nani na lini alitumwa kununua hiyo ndege.Tuko kwenye mtumbwi ila wasaliti wanakula uo huo mtumbwi tuliomo.
Any way, rais wakabe wote akina LT hadi wataje wahusika wote walipo.
mmmh.Ndio akina Lisu hao.
mbona hii kisiasa inagusa pande zoteNilivyoelewa:
Mtumbwi (Muhogo) - Tanzania
Manahodha wa mtumbwi - Hata mimi siwajui mana sina mkojo wakupeleka kwa mkemia mkuu sina.
Manahodha wa mtumbwi ndio watakaozamisha huo mtumbwi kutokana na maamuzi yao ya kipumbavu, wanaamua kula muhogo bila kujali kwamba wanahatarisha maisha ya panya hao wengine ambao wao hawali sehemu yoyote ya mtumbwi.
tumsifu Yesu KRISTO
Kwahiyo nanii ni panya buku?
hiyo boti haifiki iendako maana abiria wanaitafunaLikipita wimbi kubwa hapo hiyo boti ya mapanya buku inazama
Dereva anaendesha lori lililobeba magunia.nahodha yuko busy kuangalia mbele aliowapakia hawaelewi km watafika huyu wa kupiga kasia naona kasimama kabisa
Angalia huyo anayeongoza mtumbwi ambaye ni sznj tumbo lilivyojaa kwq kutafuata huo mtumbwi ( muhogo)Tuko kwenye mtumbwi ila wasaliti wanakula uo huo mtumbwi tuliomo.
Any way, rais wakabe wote akina LT hadi wataje wahusika wote walipo.
Na huyo anayeliongoza ndiye anaongoza kulitafuna (angalia tumbo)Yaani hapo kipanya kamaanisha kwamba boti inaendeshwa huku inaliwa
KISHA ANAANGAZA INAELEKEA HATA HAJUI ANAELEKEA WAPI?Angalia huyo anayeongoza mtumbwi ambaye ni sznj tumbo lilivyojaa kwq kutafuata huo mtumbwi ( muhogo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa iyo ni msg kwa Lisu? kwa iyo kipanya yupo upande wetu au wao?