Mzee yuko na darubini kali, yeye anapaona tunakokwenda sisi abiria, lakini tulioko huku nyuma sasa tumeamua kutokubali kwenda bora kila mtu aile nchi kwa namna anavoweza
Lakini mtoa kodi anazidi kutoa kumsaidia mwenye darubini kali
Anayekula nchi ni nani kama siyo mzee wa hasara jpm?
-kafuta ajira za vijana
-Alibomoa kituo cha mafuta mwanza, nao wanadai chao
-Wachina wa samaki nao wanadai chao
-Hilo kampuni liloshikilia ndege nao wanadai chao
-Aliuza nyumba za serikali
-Alinunua kivuko kibovu
-Amekula rambi rambi
-Wateule wake wanafanya mambo ya ajabu ajabu, mara kamuweka rumande mwalimu kisa hajui jina la Dc wake, kampiga mzazi, kampigisha deki mwalimu, Kamtongoza mwalimu, n.k vituko ni vingi
-No increment kwa wafanyakazi anasingizia uhakiki
Haya yote utawasingizia wapinzani. Je, jiulize kama yy kashika darubini. Anayepiga kasia ni nani? Na anayetafuna mtumbwi ni wakina na nani? Je, umeangalia mtumbwi unakoelekea (kama yupo na darubini iweje mtumbwi ulazimishwe kupanda wimbi?
Fikiria nje ya box. Hata swali kwenye mtihani wa NECTA linaweza kosewa. Lissu ndiyo aliwakamatwa wachina au kubomoa kituo cha mafuta. Maamuzi mabova ya mzee wahasara yataliangamiza taifa. Sasa hivi ukionekana umevaa sharti yenye nembo ya chadema unakamatwa ila ukivaa ya mafisadi haukamatwi.
Mtanzania wa kawaida kbsa anawezaje kuila nchi,(rejea kweny mtumbwi,mpaka mtumbwi ukazama) mpaka ikashindwa kusonga mbele?
Wale wanaobomolewa nyumba zao, wangkuwa na uwezo wa kuila nchi, wangegoma kubomolewa.
Anayedidimiza hili taifa ni kikundi kimoja cha matapeli cha ccm na mzee wao wa hasara jpm.