Kipanya anamchokoza mtu

Kipanya anamchokoza mtu

Nilivyoelewa:
Mtumbwi (Muhogo) - Tanzania
Manahodha wa mtumbwi - Hata mimi siwajui mana sina mkojo wakupeleka kwa mkemia mkuu sina.

Manahodha wa mtumbwi ndio watakaozamisha huo mtumbwi kutokana na maamuzi yao ya kipumbavu, wanaamua kula muhogo bila kujali kwamba wanahatarisha maisha ya panya hao wengine ambao wao hawali sehemu yoyote ya mtumbwi.
😀😀😀😀😛😀 nimecheka sana leo
 
Mkuu inaelekea we ni muoga kweli maana umejitetea mapema kama huna mkojo utatoka tu siku ikiwadia umenichekesha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahodha anazamisha chombo makusudi katikati ya bahari, ukimwambia unachofanya sote tutazama anataka kukupima mkojo unabaki tu kushangaa ndiyo hapo hao panya wawili wanamshangaa mwenzo.
 
Jamani hebu mkitoa mawazo nyie wachambuzi hisianisheni habari na hiyo rada inayotumiwa na hicho kiumbe kinachotazama mambo ya mbali

Rada za jana nadhani zinahusika hapo
 
Nilivyoelewa:
Mtumbwi (Muhogo) - Tanzania
Manahodha wa mtumbwi - Hata mimi siwajui mana sina mkojo wakupeleka kwa mkemia mkuu sina.

Manahodha wa mtumbwi ndio watakaozamisha huo mtumbwi kutokana na maamuzi yao ya kipumbavu, wanaamua kula muhogo bila kujali kwamba wanahatarisha maisha ya panya hao wengine ambao wao hawali sehemu yoyote ya mtumbwi.
Halafu hata kiongozi wa mtumbwi naye amejitafunia kidogo sehemu ya mtumbwi huku akiendelea kuongoza!
 
Wakati wengine wanaendesha mtumbwi ili tufike wengine wanautafuna.
So mtumbwi unaenda lakini hakuna atakayefika salama.
 
Nilivyoelewa:
Mtumbwi (Muhogo) - Tanzania
Manahodha wa mtumbwi - Hata mimi siwajui mana sina mkojo wakupeleka kwa mkemia mkuu sina.

Manahodha wa mtumbwi ndio watakaozamisha huo mtumbwi kutokana na maamuzi yao ya kipumbavu, wanaamua kula muhogo bila kujali kwamba wanahatarisha maisha ya panya hao wengine ambao wao hawali sehemu yoyote ya mtumbwi.
Nahodha anaongoza kwa darubini kali na hatafuni chochote
Lakini abiria sasa(raia/waongozwaji) wanaitafuna botihogo (nchi) bila kujali matokeo hasi ya ulaji ama ubadhirifu wao.
 
kwanza mtumbi ni ndo chakula, wa mbele kule ni mama, wanyuma ni baba au kinyume chake, hapo katikati ni watoto au abiria, akili za abiria mnazijua, njaa inawatandika ile darubini kule ni kama inatia wasiwasi kuwa palipobaki ni mbali ..hio hali ya hewa ni kama tufani,
kinacho ni staajabisha ni hilo tumbo la huyo mama hapo mbele sijui ni mimba au ndo kula zaid...
mie sijui maana huo mkojo sina
 
Nahodha yuko nakini kuuongoza mtumbwi na tena anatumia mpaka kiona mbali ili kuufikisha sehemu salama na sahihi na kuna watu nyuma kabisaa wanajitolea ili mtumbwi usonge kwa kupiga kasia

Lakini wakati wanafanya hivyo wengine wanawaangalia wapiga kasia wasije kushtuka ili wengine wale muhogo kwa njaa zao au kwa kutopenda usafiri huo.

Maana yake

Wakati tunaanza safari ya tanzania kufika mbele hasa kwa malengo,, watanzania wa chini wakaipenda nabkujitoa kwa kiwango kikubwa kuunga juhudi hizi za serikali, hasa waliowengi kukubali kulipa kodi na pengine kukubali maumivu ili tuvuke hap tulipo

Lakini katikati hapa wametokea wasomi waliokuwa wanamalengo yao dhidi ya nchi hii hakupenda uamuzii huu
SASA WAO WENYEWE WANAAMUA KUWEKA JUHUDI ZA KUMTENGA RAISI NA WANAINCHI WANAOMUUNGA MKONO ILI MWISHO WA SIKU AJIKUTE YUKO PEKE YAKE KAMA INAVOONEKANA MBELE PAMENONA NYUMA SAS.

Ifajamike tuu kuwa hapa sio wapinzani pekee bali wapinzani wanatumiwa na watu kutoka ndani ya ccm. Hapa ndipo utaziona juhudi za kipumbavu za wanacham wa ccm ambao hua ninaamini wapo kuchumia matumbo yao na si kwa ajiri ya wanainchi
Na hawako tayari kuona juhudi zozote zinazomnufaisha mwanainchi zikisonga mbele. kuna baadhi ya wana ccm ni mwiba kwa maendeleo ya taifa hili, pia utagundua madhara ya mifumo ya elimu yetu ambayo tumekaririshwa hasa kwa kutufundisha ubinafsi na kutuweka kando na uzalendo

Ona wapinzani wanavyotumika kumaliza hasira za wana ccm wakisema eti wao wana akili kuliko wengine.
 
JKN alisema Kiongozi asiyefuaa Sheria na Katiba aliyoapa kuilinda hatufai hata kidogo yatupasa kumwambia akishindwa arudi kwao akachunge ng'ombe...................
Hii falsafa
Huto kaa uielewe kamwe.
 
Kwahiyo nani anayekula mtumbwi siyo km mzee wa hasara jpm? Maamuzi ya ovyo ndiyo yatasababisha nchi hii kuangamia.
Lissu ni sawa na mtu anayekuambia, ww ni mchafu unakunya ndani. Ukimfunga Lissu haiwezi kusaidia kuoondoa uchafu sbb hana idhini ya kuingia kweny nyumba yako. Magu alistahili kutoa uchafu, na kusafisha nyumba.
Hili taifa jpm na kikundi chao cha wez ccm wanaongoza kwa kurudisha maisha ya watu nyuma
Mzee yuko na darubini kali, yeye anapaona tunakokwenda sisi abiria, lakini tulioko huku nyuma sasa tumeamua kutokubali kwenda bora kila mtu aile nchi kwa namna anavoweza

Lakini mtoa kodi anazidi kutoa kumsaidia mwenye darubini kali
 
Nahodha anazamisha chombo makusudi katikati ya bahari, ukimwambia unachofanya sote tutazama anataka kukupima mkojo unabaki tu kushangaa ndiyo hapo hao panya wawili wanamshangaa mwenzo.
Mmh. We umeangalia katuni ipi??

Hihi ninayomuona nahodha kajitahidi kutafuta mpaka kiona mbali ili asipotee??
 
Back
Top Bottom