ulijuaje una kipaji?Sanaa ya maigizo kwa ujumla,,yaan kuigiza film au season na nk,,, inshort bongo movie
wewe uko wapi?nmekua nikiigiza toka zaman kwa level za shulen na kanisani,,lkn pia jamii inayonizunguuka huwa inamiin mm nakipaji hiko,,
umri?kwa sasa nipo Dar es salaam
aisee sawa ila umechelewa kuchukua hatua.29years
ni kweli, ila jaribu kutembelea vikundi vya maigizo hapo Dar. Ukipata nafasi ya kushiriki walau katika igizo/filamu itakupa fursa ya kuonekana kirahisi kuliko sasa ambapo ni ngumu mtu kuamini unachosema.ni kweli ingawa wapo wazee ambao vipaji vyao vimeonekana uzeen mwangu naona bado sijachelewa sana
kwa kuwa una miaka 29 naamini una ajira engine itakayo kava gharama za maisha maana sanaa ya bongo kwa kiasi gulanininafanywa kwa mapenzi kuliko kujali pesa, ila usikate tamaa maana ukiingia huko ukapata jina, jina suku hizi ni asset, ynaweza ukawa na jina likakusaidia kubusti nakupromoti biashara zako naiukufanya ufahamiane na watu ukawanakoneksheni ukaishi kwa kushiba hapa mjiniHabari ,,mie ni kijana mwenye kipaji,,Natafuta mtu wa kuniongoza na kukiona kipaji changu ili aweze kunipa sapoti,,kwa mwenye wito Aje DM