Kioo cha Laptop kikichafuka nasafishaje?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Wakubwa
Mtoto wangu amechafua Secreen ya laptop yangu kwa kutumia Marck pen ya rangi ya kijani

Nimefuta kwa kitambaa lakini naona hayatoki

nisafishe na nini? Nsaidie
 
Rutunga bwana, tafuta kitambaa cha cotton laini na spiriti safisha bila kukandamiza. Petrol yawezakuwa nzuri ila naogopa pembeni mwa laptop kuna palastic laini ambayo yaweza kuwa inayeyushwa na petrol. [Joke= waweza kusugua kwa mchanga au stili waya]
 
Ningeweza kukupa mbinu za kusafisha. Lakini hiyo avatar yako imenifanya nishindwe kukupa ushauri. Mdomo wa ndege na binadamu wapi na wapi?
 
Wakubwa
Mtoto wangu amechafua Secreen ya laptop yangu kwa kutumia Marck pen ya rangi ya kijani

Nimefuta kwa kitambaa lakini naona hayatoki

nisafishe na nini? Nsaidie

Jaribu kumia spirit kama huna, unaweza pia kujaribu nail polish remover (hope shemeji anayo home). Unaweza kuchanganya na maji kidogo kupunguza nguvu.
 
WanaJF acheni mzaha na kuwa majibu rahisi katika maswali magumu. Hilo tatizo hata mi limenigusa. Screen na keyboard ktk laptop yangu vimechafuka sana. kila nikitumia kitambaa laini cha pamba hakfai kitu. Kama yupo anaefahamu, naomba msaadawa solution. Mwenye mzaha apeleke katika sehemu mahususi ya mzaha.
 
Y dont you go a mile further by googling it.

My initial googling found these artcles wich might be of help
-How to Clean a Laptop Screen with Household Products - wikiHow
-How To Clean Your Laptop Screen Properly | Geek with Laptopd
-http://www.ehow.com/how_4748199_permanent-marker-lcd-computer-monitors.html .

Instructions
1.Your going to need to get a microfiber cloth. If you don't have a microfiber cloth, you can use any kind of soft cloth to use instead. Microfiber is highly recommended though, so you don't scratch the screen on your TV or computer screen. - Ukisma article nyingine wanashauri kitambaa kiwe pure cotton

2 Next you will need toothpaste. You can use colgate, or really most brands will work. You want a paste without gel. For some reason the paste has a better cleaning agent when it comes to permanent markers.

3 Dampen your cloth with a little bit of water, and add a pea size amount of toothpaste. Lightly smear it around the cloth.

4. In small circles wipe the screen with the toothpaste on it to remove it. As soon as it's removed use a clean part of the cloth to continue wiping off the toothpaste from the screen.

5 Rinse the cloth well, and clean off the screen again with some water to remove any trace of toothpaste.

6.Next spray down the screen with an electronics surface cleaner. Make sure it's safe for your screen and monitor. - hapa nadhani wanamaanisha foam cleaner

NB
Hiyo niliyo bold kwangu nimeona inaendenan na mazigira yaliyotokea kwako so jaribu kwanza hiyo. na nimeweka procedures wanazoshauri

Hope ukitoa kwa kutumia njia yeyote ile utatumbia ulitumia njia gani nasi tuelimike.
 
Kojolea kioo, uchafu utatoka wenyewe bila hata kusugua.

Please Behave....Huwa nasema uku ni technologia na mtu anapo ingia anakuwa kweli anataka msaada....sasa wewe...unahitaji burn kwa siku mbili...
 
Waliokwambia tumia Spirit wanajua wasemalo. Nina mtoto wa miaka 2 ukiacha markers sehemu anayoweza fikia utakuta kila aina ya michoro kwenye screen za tv / computer. Natumia spirit na shati kuu kuuu, screens zinarudi kama mpya.
 
Back
Top Bottom