๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Unajua hata wewe unaweza kumiliki

View attachment 2785691

Kampuni ya Infinix imetoa toleo jipya la laptop aina ya Infinix Inbook slim X3 nchini India bei yake ni rafiki kila mtu anaweza kumiliki Je nini kilichopo ndani yake Leo nakujuza.

Infinix Inbook slim X3 imeundwa ikiwa laptop nyembamba mno unaweza tembea nayo mahali popote na ku enjoy.

View attachment 2785692

kioo chake ni inch 14 kikiwa nA kioo aina ya IPS full Hd yenye pixels 1920 ร— 1080 Yani full hd wakati unaangali movie , video au unafanya Kazi zako.

Imekuja ikiwa na processor ya Intel core i3-1215U (generation 12) unaweza kutumia katika Kazi za kawaida kama vile chuoni , website design nk.

View attachment 2785693

ndani utakutana na storage yenye kutumia mfumo wa SSD yenye 512Gb Iko na Kasi Kwenye kufungua program mbalimbali bila shida.

View attachment 2785695

ina ram yenye 8Gb lakini Kuna slot moja ya ziada unaweza kuiweka na ram ya nyongeza.

View attachment 2785694

battery yake ni li-ion unaweza tumia masaa 11 bila kuchaji pia Ina Teknolojia ya fast chaji hivyo nusu saa TU laptop yako inajaa toka asilimia 0% mpaka 100.

gsmarena_003.jpg

inatumia mfumo wa HDMI hakuna vGa port , unaweza chomeka earphones fresh TU pia imekuja na web cameras yenye uwezo wa kuchukua video kwa ubora wa hali ya juu kabisa.

pamoja na keyboard zenye uwezo wa kuwaka Waka (backlight keyboard) warranty yake mwaka mmoja.

View attachment 2785697View attachment 2785696
 
So unazo unauza au ndiyo kusema bado zipo huko India kwa kuanzia so umeanza kwa kuzipaisha?.
Bado hazifika Tanzania mie siuzi nazifanyia review TU utazipata Kwenye madukq ya Infinix ila Gharama inaanzia Laki Tisa inategemeq na core Kuna core i3, core i5 na core i7
 
Unajua hata wewe unaweza kumiliki

View attachment 2785691

Kampuni ya Infinix imetoa toleo jipya la laptop aina ya Infinix Inbook slim X3 nchini India bei yake ni rafiki kila mtu anaweza kumiliki Je nini kilichopo ndani yake Leo nakujuza.

Infinix Inbook slim X3 imeundwa ikiwa laptop nyembamba mno unaweza tembea nayo mahali popote na ku enjoy.

View attachment 2785692

kioo chake ni inch 14 kikiwa nA kioo aina ya IPS full Hd yenye pixels 1920 ร— 1080 Yani full hd wakati unaangali movie , video au unafanya Kazi zako.

Imekuja ikiwa na processor ya Intel core i3-1215U (generation 12) unaweza kutumia katika Kazi za kawaida kama vile chuoni , website design nk.

View attachment 2785693

ndani utakutana na storage yenye kutumia mfumo wa SSD yenye 512Gb Iko na Kasi Kwenye kufungua program mbalimbali bila shida.

View attachment 2785695

ina ram yenye 8Gb lakini Kuna slot moja ya ziada unaweza kuiweka na ram ya nyongeza.

View attachment 2785694

battery yake ni li-ion unaweza tumia masaa 11 bila kuchaji pia Ina Teknolojia ya fast chaji hivyo nusu saa TU laptop yako inajaa toka asilimia 0% mpaka 100.

View attachment 2785698

inatumia mfumo wa HDMI hakuna vGa port , unaweza chomeka earphones fresh TU pia imekuja na web cameras yenye uwezo wa kuchukua video kwa ubora wa hali ya juu kabisa.

pamoja na keyboard zenye uwezo wa kuwaka Waka (backlight keyboard) warranty yake mwaka mmoja.

View attachment 2785697View attachment 2785696

Nimeifatilia nimeona bei yake ni โ‚น47,990 ambayo ni sawa na Tsh 1,441,179.65
 
Back
Top Bottom