Wanaoelewa hizo Nishani za Bwana Harusi na scarf za wapi? Hahahaha
Jamaa anaenda kutoa buibui na mavumbi yaliyokaa miaka 11 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bwana harusi hii scarf ni TANU Youth League au Scout?
Hata km angevaa shela lkn siyo nyeupe. Tatizo watu wengi huwa wanavaa shela bila kujua kwa nn wanavaa na wavae rangi gani. Shela nyeupe huvaliwa na binti anayeolewa akiwa bikra. Huwezi kuvaa shela nyeupe ukiwa unabariki Ndoa. Ni kuondoa thamani ya wale wanaostahili....!!Ni mimi labda kutokujua.
Lakini,
Sijaona sababu ya msingi yeye kuvaa shela tena.
Angeweza kuvaa vazi lingine zuri tu.
Jamaa labda Amepata style mpya wanaenda kunitumia Kwenye ndoaUnajuaje kama alianza kuburudika siku nyingi. Leo wameamua tu kuwafunga midomo wambea.
Ushauri ni muhimu mkuu. Kumbuka huyo ni mjane!!!Hayakuhusu mkuu.Uliambiwa kuna mgonjwa miongoni mwao?Acha watu wale maisha na kupiga vyombo.Hahahaha!!!
Ni mimi labda kutokujua.
Lakini,
Sijaona sababu ya msingi yeye kuvaa shela tena.
Angeweza kuvaa vazi lingine zuri tu.
Sijui wasukuma wenzangu hawa.😀😀tena shela jeupe, angevaa atavla blue
Tuseme "kijana" kajitwisha Mwenyekiti?Ni ya chama cha vijana cha kanisa la wasabato
Ina maana hiyo miaka 11....Jamaa anaenda kutoa buibui na mavumbi yaliyokaa miaka 11 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabinti/mabibi wa siku hizi hawajui maana ya shela. Waacheni wavae tu chochote. Si unaona hata watoto wa kule chekchea nao wanavaa majoho na kofia za msomi mmbobevu!! Siku hizi we acha tu.Ni mimi labda kutokujua.
Lakini,
Sijaona sababu ya msingi yeye kuvaa shela tena.
Angeweza kuvaa vazi lingine zuri tu.
Ilikuwa ikitekenywa isivyo halali sasa ndiyo imehalalishwa kutekenywa masaa yoteIna maana hiyo miaka 11....
hiyo ngoma haikutekenywa???
Tuseme "kijana" kajitwisha Mwenyekiti?
Sa kadad kanamiaka 25 jamaa ake kafa na ajali mnamuita mjane hali kuwa mnafahamu chochote kinaweza kutokea.Paulo anatuambia; Tusimwite mwanamke yeyote "Mjane" hadi afikishe miaka 60. Huyo mlimchagua kuwa m/kiti sasa chagueni mwingine haraka lakini awe zaidi ya 60
Haya, tunawatakia mtanange mwema viongozi hawa. Kombe uwanjani. Afe kipa, afe beki.Huyo ni master guide (kiongozi wa vijana) yeye anaruhusiwa kuwa na umri wowote