Kiongozi wa chama wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kupanda kwa bei ya mahindi ni kwa sababu serikali hainunui chakula cha akiba

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,563
Zitto alisema Rais John Magufuli ameongelea bei ya unga kupanda yupo sahihi kwa wakulima wanapaswa kupata bei nzuri ya mazao na serikali haipaswi kuingilia.

“Amejifunza makosa ya korosho? Lakini sababu za bei kwa walaji kupanda ni serikali kutonunua chakula cha akiba

Zitto aliandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alikuta kuna tani 238,000 za chakula cha akiba.

“Hivi sasa kuna akiba ya 61,000 tu kinachotosha wiki moja iwapo kukitokea dharura. Akiba kidogo inaisababisha serikali kushindwa kuingiza chakula sokoni ili kulegeza bei,” aliandika Zitto

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, alimjibu kuwa dhana ya kwamba mahindi anayo mfanyabiashara na si mkulima ni dhana ambayo haitakiwi kusemwa na kiongozi kama wewe.

“Katika mnyororo wa biashara kuna mzalishaji Off Taker sasa kama hakuna traders means unatakiwa usiwe na biashara,” aliandika Bashe
 
Zitto ni mwongo sana

Ninanachofurahi Magufuli amempuuza

Dawa ya mnafki ni kumpuuza tu
 
Back
Top Bottom