Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,114
- 219,218
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .
Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.
--
Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .
Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.
Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.
By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.
Zaidi soma:
=====
VIDEO : Baada ya kuamriwa apelekwe rumande akawaomba polisi wampeleke kwenye gari lake ili akavae fulana ya Katiba mpya , Polisi wamkubalia , naye aivaa .
Ujumbe ulioleta utata huu hapa

Queen Sendiga: Sijamshikilia huyu dogo Vitus Nkuna
"Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna kijana Vitus Nkuna nimemwita ofisini kwangu leo, kutwa nzima nimekuwa nje ya ofisi kwa kikao cha tathimini ya lishe katika ukumbi wa siasa ni kilimo simjui kijana huyo ni taarifa za upotoshaji"- RC Iringa, Sendiga. Zaidi, soma: -...
www.jamiiforums.com