Kiongozi wa BAVICHA Iringa, Vitus Nkuna aitwa ofisi ya RC kwa mahojiano

Wagonjwa wa Corona mkoani Shinyanga wapo au hawapo?

Mitungi ya gesi inawatosha au haiwatoshi?

Taarifa ioneshe kwa kila kituo (Shinyanga, Kolandoto, Tinder, Kahama na Nyamilangano) kina wagonjwa wangapi wa Corona na idadi ya mitungi ya gesi iliyopo kwa kila kituo.

Hiyo itathibitisha kama kuna Wagonjwa wengi na kama kuna upungufu wa mitungi katika vituo hivyo.
Magonjwa mengine ukienda hospitalini huwa unapata dawa?
 
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .

Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.

--
Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .

Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.

Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.

By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.

View attachment 1851593
Kama ana ushahidi basi asiwe na wasiwasi. Lakini kama ni zile porojo za ufipa hiyo ni habari nyingine.
 
Nkuna ana uhuru wa kutoa mawazo yake. Hamna mpaka kwenye hilo. Mipaka ipo kwenye matumizi ya vyombo vya uchunguzi na mamlaka ya RC.

Amandla...
Hakungekuwa na ulazima wakuwa na viongozi.
Nadhani hata pale ufipa wanamipaka yakuongea.
Pole kwa Uhuru usiojenga kwenye jamii
 
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .

Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.

--
Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .

Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.

Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.

By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.

View attachment 1851593
Huyo mkuu wa Mkoa wa shinyanga na Dodoma wallah kukikucha bila kutumbuliwa Basi wachawi.
Sera ya mama ni uwazi na ukweli, tuvute subira
 
Mbona jambo dogo wanataka kulikuza? Hizo gharama za kumpeleka Shinyanga zitalipwa na nani? Na mamlaka ya Mkuu wa Mkoa ya kuamrisha kukamatwa kwa mtu ambae haishi mkoani mwake yapo? Hivi kwa kufanya hivi hawaoni wanamuharibia Mheshimiwa Rais ambae ameonyesha hapendi hizi kamatakamata?

Amandla...
Wanatumia masaburi.
Hawana element za kichumi nguvu bila akili hawa wanachezea hela za watanzania
 
Hakungekuwa na ulazima wakuwa na viongozi.
Nadhani hata pale ufipa wanamipaka yakuongea.
Pole kwa Uhuru usiojenga kwenye jamii
Mipaka inakuwepo kwenye taarifa za chama lakini sio za kijamii. Kumbuka madaktari wetu waliogopa kumwambia Mkuu wa Nchi kuwa chumba anachotaka kuingia ni cha wagonjwa wa Covid. Wao walitumia euphemism ya " wenye matatizo ya kupumua" mpaka alipowauliza kama wanamaanisha covid nao wakakubali. Hawa madaktari si wa kuwaamini hata kidogo. Wengine hatujasahau kuwa walijenga chumba cha kujifukizia Muhimbili.
Kwenye hili, Nkuna anaweza kuwa anasema ukweli kuliko hao waliopo hospitali.

Amandla...
 
Huyu dogo anatakiwa aozee huko huko
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .

Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.

--
Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .

Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.

Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.

By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.

View attachment 1851593
 
"RCO wa Iringa anasema yeye hana tatizo lolote na Mwenyekiti wa BAVICHA mkoa wa Iringa ndugu Vitus Nkuna isipokuwa amepewa maelekezo amkamate Vitus then RCO wa Shinyanga atatuma gari la Polisi kutoka Shinyanga kwenda Iringa kumbeba Vitus na kumpeleka Shinyanga ili aweze kufikishwa Mahakamani." - Hilda Newton
 
Sijaona kosa lake hapo,ni kweli idadi ya wagonjwa ni kubwa sana,Shinyanga na Mwanza hakukamatiki ,na amefanya kama kuwakumbusha tu wafanye Jambo,ujinga wa kuficha tatizo ndio husababisha kukua kwa tatizo
 
Back
Top Bottom