Kiongozi wa BAVICHA Iringa, Vitus Nkuna aitwa ofisi ya RC kwa mahojiano

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,246
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .

Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.

--
Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .

Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.

Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.

By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.

Nawafahamisha_kwamba_Kamanda_Vitus_Nkuna_ambae_ni_Katibu_wa_Bavicha_Iringa__ameitwa_ofsini_kwa...jpg

Zaidi soma:

=====

VIDEO : Baada ya kuamriwa apelekwe rumande akawaomba polisi wampeleke kwenye gari lake ili akavae fulana ya Katiba mpya , Polisi wamkubalia , naye aivaa .

Ujumbe ulioleta utata huu hapa

Vitus_Nkuna_amekamatwa_na_Polisi_kwa_ushauri_huu..jpg
 
Hapo tu unaona diplomasia ya Queen.
Ameshapunguza taharuki.
Ana nguvu zote zakumuonya kuvuka kimamlaka.
Bavicha muwe na mipaka
 
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .

Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.

--
BREAKING NEWS!

Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .

Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.

Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.

By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.

View attachment 1851593
Ameitwa na RCO, siyo RC
 
Mkanganyiko,aende akaonyeshe hao wagonjwa.
Upande wa pili hakuna namna yakumuonya kuepusha garama zakumlisha na night za askari wanaompeleka.
 
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .

Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.

--
Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .

Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.

Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.

By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.

View attachment 1851593

Mbona jambo dogo wanataka kulikuza? Hizo gharama za kumpeleka Shinyanga zitalipwa na nani? Na mamlaka ya Mkuu wa Mkoa ya kuamrisha kukamatwa kwa mtu ambae haishi mkoani mwake yapo? Hivi kwa kufanya hivi hawaoni wanamuharibia Mheshimiwa Rais ambae ameonyesha hapendi hizi kamatakamata?

Amandla...
 
ACHA AKAFINYWE PU.........MB KWANZA ILI AKITOKA KILA MTU ATAMUAMKIA HATA MTOTO MDOGO BAVICHA MUACHE KIHEREHERE DAADEC
 
WANALAZIMISHA WATU WAGANYE ILI JEURI ZIPUNGUE WACHA AKABANWE KIDOGO
 
Mbona jambo dogo wanataka kulikuza? Hizo gharama za kumpeleka Shinyanga zitalipwa na nani? Na mamlaka ya Mkuu wa Mkoa ya kuamrisha kukamatwa kwa mtu ambae haishi mkoani mwake yapo? Hivi kwa kufanya hivi hawaoni wanamuharibia Mheshimiwa Rais ambae ameonyesha hapendi hizi kamatakamata?

Amandla...
Hata wangemchapa viboko tu aache uongo wakuwa msemaji nje ya mamlaka.
Gharama zisizo na maana
 
Naona kama tunarudi tulipo toka, hilo sio swala la kumueka mtu maabusu, kamatakamata mama etu kasema hataki kuziskia zikiendelea lakini bado, duh shkamoo tanzania
 
ACHA AKAFINYWE PU.........MB KWANZA ILI AKITOKA KILA MTU ATAMUAMKIA HATA MTOTO MDOGO BAVICHA MUACHE KIHEREHERE DAADEC
Wagonjwa wa Corona mkoani Shinyanga wapo au hawapo?

Mitungi ya gesi inawatosha au haiwatoshi?

Taarifa ioneshe kwa kila kituo (Shinyanga, Kolandoto, Tinder, Kahama na Nyamilangano) kina wagonjwa wangapi wa Corona na idadi ya mitungi ya gesi iliyopo kwa kila kituo.

Hiyo itathibitisha kama kuna Wagonjwa wengi na kama kuna upungufu wa mitungi katika vituo hivyo.
 
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .

Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.

--
Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .

Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.

Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.

By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.

View attachment 1851593
Nilisema hapa kuwa dada yake Kayafa ana laana za Kayafa ambazo zitamfanya awe lethal kuliko Kayafa watu wakadai kuwa yule ni Mama.The worst is yet to come!
Polisi mkoani Iringa hawana kesi naye, watakachofanya ni kumsafirisha mpaka Shinyanga, huko ndiyo watamshughulikia kwa maelekezo ya ya RC wao
 
Hata wangemchapa viboko tu aache uongo wakuwa msemaji nje ya mamlaka.
Gharama zisizo na maana mitungi

Viboko vya nini wakati Mkuu wa Mkoa amekiri kuwa kuna wagonjwa wamelazwa? Na ana uhakika gani kuwa watu wake hawampi taarifa za uongo? Kuna aibu gani kusema kuwa unahitaji msaada wa mitungi ya oksijeni?

RC anavyombo vya kiuchunguzi kisheria.akidanganywa juu yake.
Huyo Nkuna hana mamlaka hayo.
Mipaka mipaka mipaka
 
Nkuna ana uhuru wa kutoa mawazo yake. Hamna mpaka kwenye hilo. Mipaka ipo kwenye matumizi ya vyombo vya uchunguzi na mamlaka ya RC.

Amandla...
 
Back
Top Bottom