Kiongozi anaponunua helcopter 13 za kumlinda yeye binafsi, lakini anakwazwa na mageuzi Jeshi la Zimamoto

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
Hoja ya baadhi ya watu kwamba
mshikaji alimfukuza kazi Thobias Andengenye baada ya kumwacha kwenye "mgao wa dili" yaweza kuwa na mantiki.

Vinginevyo haingii akilini Kiongozi anashindwaje kuona umuhimu wa kulifanyia mageuzi Jeshi la Zimamoto ambalo liko hoi bin taabani, lakini yeye peke yake akajinunulia mahelcopter ya gharama kwa ajili ya kujilinda??

Afande Andengenye alikusudia kulifanya Jeshi la Zimamoto kuwa RESPONSIVE enough kwenye matukio ya kuzima moto; Kwamba kwa kununua vifaa vya kisasa vya kuzima moto kama vile DRONES, basi tatizo la kuchelewa kufika kwenye ajali za moto lingekuwa limepatiwa ufumbuzi, pasingekuwa na zile lawama tena za Zimamoto kufika kwenye nyumba iliyoungua masaa mawili baada ya nyumba kuteketea kwa moto.

Basi ndugu yetu alivyo na roho mbaya hasa kwenye kazi zisizomfaidisha yeye binafsi, au kampuni zake, au masuria wake akafura kwa hasira, kwamba inakuwaje dili ya Trillion 1 imwache yeye pembeni completely?

So tunafahamu miji yetu ilivyopangiliwa vibaya, kuna mitaa haiingiliki kwa gari ya Zimamoto, sasa kuna ubaya gani kuleta teknolojia mpya ya drones, kwa sababu dunia nzima inaelekea huko??

Kiongozi anakuwa mbinafsi hadi inakera, tusishangae zikanunuliwa DRONES za kusindikiza msafara wake, au za kupelekwa Chato, baada ya kumgombeza Andengenye kwa kununua za Zimamoto ambazo zingetufaidsha Watanzania wote.

Kila kitu CHATO, huduma zinazogusa jamii pana hana habari nazo...haya sasa umemfukuza Andengenye, mkataba umeuvunja?
 
Remember every competition must have the championship..!
Wote mnabishana kama majuha, maendeleo hayaletwi na mtu mmoja, huo ni uvivu wa kufikiri.

Ilani ya CCM inaandikwa na mtu mmoja?

Ilani ya CCM inatekelezwa na mtu mmoja?
Kodi inakusanywa na mtu mmoja?
Mikopo inatafutwa na mtu mmoja?

Let us be realistic ,tuache ushabiki njaa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ya baadhi ya watu kwamba
mshikaji alimfukuza kazi Thobias Andengenye baada ya kumwacha kwenye "mgao wa dili" yaweza kuwa na mantiki.

Vinginevyo haingii akilini Kiongozi anashindwaje kuona umuhimu wa kulifanyia mageuzi Jeshi la Zimamoto ambalo liko hoi bin taabani, lakini yeye peke yake akajinunulia mahelcopter ya gharama kwa ajili ya kujilinda??

Afande Andengenye alikusudia kulifanya Jeshi la Zimamoto kuwa RESPONSIVE enough kwenye matukio ya kuzima moto; Kwamba kwa kununua vifaa vya kisasa vya kuzima moto kama vile DRONES, basi tatizo la kuchelewa kufika kwenye ajali za moto lingekuwa limepatiwa ufumbuzi, pasingekuwa na zile lawama tena za Zimamoto kufika kwenye nyumba iliyoungua masaa mawili baada ya nyumba kuteketea kwa moto.

Basi ndugu yetu alivyo na roho mbaya hasa kwenye kazi zisizomfaidisha yeye binafsi, au kampuni zake, au masuria wake akafura kwa hasira, kwamba inakuwaje dili ya Trillion 1 imwache yeye pembeni completely?

So tunafahamu miji yetu ilivyopangiliwa vibaya, kuna mitaa haiingiliki kwa gari ya Zimamoto, sasa kuna ubaya gani kuleta teknolojia mpya ya drones, kwa sababu dunia nzima inaelekea huko??

Kiongozi anakuwa mbinafsi hadi inakera, tusishangae zikanunuliwa DRONES za kusindikiza msafara wake, au za kupelekwa Chato, baada ya kumgombeza Andengenye kwa kununua za Zimamoto ambazo zingetufaidsha Watanzania wote.

Kila kitu CHATO, huduma zinazogusa jamii pana hana habari nazo...haya sasa umemfukuza Andengenye, mkataba umeuvunja?
vey selfish leader
 
Nimegundua hamtumii akiri zenu ila kuna kitu nyuma yenu kinawasukuma kwa nguvu, kila siku mnasema humu zimenunuliwa ndege hapa eti pesa ingepelekwa afya mara zipelekwe kwenye alimu, na bado hizo ndege zinazalisha pesa ikapelekwe kwenye hiyo afya lakini bado mnapinga, sasa drone ambazo zitakaa na huenda isitumike kwa mwaka mzima maana moto isipotokea haina kazi, hiyo pesa yote iende hapo, je kwe afya utapeleka nni au matatizo ya elimu pia yameisha? Kumbuka jana ukisema nni na leo unasema nni. Msituvuruge.
 
Bajeti ya nchi nzima inacheza kati ya Trioni 30-40 tena na zenyewe hewa lkn realistic huwa ni T15-20.

Nchi hii ina idara na Taasisi za serikali karibia 300 sasa kama kila idara na Taasisi itakuwa na Uhuru wa kukopa na kufanya expenditure ya Trioni moja hapo tutafika kweli?

Magu hajaponda mpango huo lkn alichosema ni kwamba pesa hiyo niwe nyingi kufanyiwa maamuzi na idara tu pamoja na waziri kimya kimya ilitakiwa mpango uingizwe baraza la mawaziri ili uwekwe kwenye bajeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ya baadhi ya watu kwamba
mshikaji alimfukuza kazi Thobias Andengenye baada ya kumwacha kwenye "mgao wa dili" yaweza kuwa na mantiki.

Vinginevyo haingii akilini Kiongozi anashindwaje kuona umuhimu wa kulifanyia mageuzi Jeshi la Zimamoto ambalo liko hoi bin taabani, lakini yeye peke yake akajinunulia mahelcopter ya gharama kwa ajili ya kujilinda??

Afande Andengenye alikusudia kulifanya Jeshi la Zimamoto kuwa RESPONSIVE enough kwenye matukio ya kuzima moto; Kwamba kwa kununua vifaa vya kisasa vya kuzima moto kama vile DRONES, basi tatizo la kuchelewa kufika kwenye ajali za moto lingekuwa limepatiwa ufumbuzi, pasingekuwa na zile lawama tena za Zimamoto kufika kwenye nyumba iliyoungua masaa mawili baada ya nyumba kuteketea kwa moto.

Basi ndugu yetu alivyo na roho mbaya hasa kwenye kazi zisizomfaidisha yeye binafsi, au kampuni zake, au masuria wake akafura kwa hasira, kwamba inakuwaje dili ya Trillion 1 imwache yeye pembeni completely?

So tunafahamu miji yetu ilivyopangiliwa vibaya, kuna mitaa haiingiliki kwa gari ya Zimamoto, sasa kuna ubaya gani kuleta teknolojia mpya ya drones, kwa sababu dunia nzima inaelekea huko??

Kiongozi anakuwa mbinafsi hadi inakera, tusishangae zikanunuliwa DRONES za kusindikiza msafara wake, au za kupelekwa Chato, baada ya kumgombeza Andengenye kwa kununua za Zimamoto ambazo zingetufaidsha Watanzania wote.

Kila kitu CHATO, huduma zinazogusa jamii pana hana habari nazo...haya sasa umemfukuza Andengenye, mkataba umeuvunja?
Najaribu tu kuwaza kimyakimya namna ambavyo tutafika kwenye uchaguzi wetu mkuu wa oktoba
 
Jr
 
Back
Top Bottom