Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,263
Hoja ya baadhi ya watu kwamba
mshikaji alimfukuza kazi Thobias Andengenye baada ya kumwacha kwenye "mgao wa dili" yaweza kuwa na mantiki.
Vinginevyo haingii akilini Kiongozi anashindwaje kuona umuhimu wa kulifanyia mageuzi Jeshi la Zimamoto ambalo liko hoi bin taabani, lakini yeye peke yake akajinunulia mahelcopter ya gharama kwa ajili ya kujilinda??
Afande Andengenye alikusudia kulifanya Jeshi la Zimamoto kuwa RESPONSIVE enough kwenye matukio ya kuzima moto; Kwamba kwa kununua vifaa vya kisasa vya kuzima moto kama vile DRONES, basi tatizo la kuchelewa kufika kwenye ajali za moto lingekuwa limepatiwa ufumbuzi, pasingekuwa na zile lawama tena za Zimamoto kufika kwenye nyumba iliyoungua masaa mawili baada ya nyumba kuteketea kwa moto.
Basi ndugu yetu alivyo na roho mbaya hasa kwenye kazi zisizomfaidisha yeye binafsi, au kampuni zake, au masuria wake akafura kwa hasira, kwamba inakuwaje dili ya Trillion 1 imwache yeye pembeni completely?
So tunafahamu miji yetu ilivyopangiliwa vibaya, kuna mitaa haiingiliki kwa gari ya Zimamoto, sasa kuna ubaya gani kuleta teknolojia mpya ya drones, kwa sababu dunia nzima inaelekea huko??
Kiongozi anakuwa mbinafsi hadi inakera, tusishangae zikanunuliwa DRONES za kusindikiza msafara wake, au za kupelekwa Chato, baada ya kumgombeza Andengenye kwa kununua za Zimamoto ambazo zingetufaidsha Watanzania wote.
Kila kitu CHATO, huduma zinazogusa jamii pana hana habari nazo...haya sasa umemfukuza Andengenye, mkataba umeuvunja?