Hata sikijui jina ila nahisi ni kitamu
Honey Faith mbona sijaona kama kuna kinywaji hapo aise
Kuna watu wanafaidi aise hiyo kitu hapo juu ni zaidi ya hicho kinywaji
Halafu nimekumiss hadi naumwa
Sasa si wewe hutaki kunitawangia kwenye ile simu yangu niliyokupa ya land line mpaka imeota kutu haijawahi kutumika
Miss you mno aise Honey Faith
![]()
Aisee kuna watu wanafaidi